MMILIKI WA YANGA AIBUKA, ATAKA KWENDA KWA KIKWETE
![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QcXWsd9Y*hV5ksfcxn0q4TfJ6Einzm5X*3PTqT6bhtzv*U73dQzYDq*StuI*ZSL96t8bpUCWOYRm3MXVkdkMxA6/1.jpg?width=650)
Juma Mwambelo. Na John Joseph ALIYEJITANGAZA kuwa mmiliki wa klabu ya Yanga, Juma Mwambelo, amesema yu tayari kukabidhi nyaraka zinazotafutwa na uongozi wa klabu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga, alitangaza kwenye mkutano wa Yanga kwamba Mwambelo anashikilia hati za umiliki wa klabu ya Yanga kimakosa na anatakiwa kuzikabidhisha haraka iwezekanavyo kabla ya kuchukuliwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 May
‘Nabii wa dengue’ aibuka Dar, ataka kumwona JK
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Manji aibuka Yanga
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....
10 years ago
Vijimambo25 Mar
Moto wa Lowassa sasa watikisa CCM. Nape aibuka, ataka asikaribishe makundi kumshawishi urais.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-25March2015.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari waliopo katika msafara wa Katibu Mkuu wa CCM waliotaka ufafanuzi kuhusu hali hiyo, Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema matendo yanayoendelea kufanywa na Lowassa, ambaye ni Mbunge wa Monduli ni...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-z602IkbX6Lc/VTFTM_52mYI/AAAAAAADioo/DwipzSDMyQk/s72-c/Oman%2B1.jpg)
Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman
![](http://4.bp.blogspot.com/-z602IkbX6Lc/VTFTM_52mYI/AAAAAAADioo/DwipzSDMyQk/s1600/Oman%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bADwA9Ki0hI/VTFTNFUUV1I/AAAAAAADios/tPvjuAfshBI/s1600/Oman%2B2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zKMYe7Ta26s/VTFTNWr-nBI/AAAAAAADiow/6qrmb-NIgto/s1600/Oman%2B3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4zYKYCYLjDI/VTEtOS-9TKI/AAAAAAAHRuU/amtVwjM7CBE/s72-c/unnamed%2B(67).jpg)
Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman
![](http://3.bp.blogspot.com/-4zYKYCYLjDI/VTEtOS-9TKI/AAAAAAAHRuU/amtVwjM7CBE/s1600/unnamed%2B(67).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9ptPGEZSALY/VTEtNjjs0xI/AAAAAAAHRuQ/hr_YXH3baEk/s1600/unnamed%2B(68).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-eo3pbFq3Y4s/VTEtOmtvwUI/AAAAAAAHRuY/gN4VWh5R_q8/s1600/unnamed%2B(69).jpg)