Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akimkabidhi Mhe. Yousuf bin Alawi bin Abdulla, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa Mhe. Sultani Qaboos bin Said Al Said, Mtawala wa Oman.
Makabidhiano yakiendelea huku Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mhe. Ali Ahmed saleh akishuhudia.
Waziri Membe akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Alawi bin Abdulla, Waziri wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Wizara yatolea ufafanuzi Safari za Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Nje ya Nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari -Ziara za Rais .docx
10 years ago
VijimamboRAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI ZA MSIBA WA MAMA MZAZI WA KULWA,DOTTO NA NICO MWAIBALE, MWILI WASAFIRISHWA KWENDA MBEYA LEO KWA MAZISHI.
11 years ago
Michuzi01 Aug
11 years ago
Dewji Blog03 Aug
11 years ago
GPL
SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
11 years ago
GPL
BARUA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA MRISHO KIKWETE
10 years ago
Dewji Blog07 Aug
Diamond Platnumz akitoa salaam za shukrani kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
*Vijana wajitume zaidi asema Diamond