Wizara yatolea ufafanuzi Safari za Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Nje ya Nchi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Taarifa kwa Vyombo vya Habari -Ziara za Rais .docx
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWIZARA YATOA UFAFANUZI WA Safari za Rais Kikwete Nje ya Nchi
Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi kuwa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani mwaka 2005,...
9 years ago
VijimamboWIZARA YATOA UFAFANUZI WA SAFARI ZA RAIS KIKWETE NJE YA NCHI
Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi kuwa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani mwaka 2005,...
10 years ago
MichuziUjumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman
10 years ago
VijimamboUjumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman
10 years ago
VijimamboUVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...
9 years ago
MichuziRais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na Mwenyekiti wa Kamisheni wa Umoja wa Afrika na Waziri wa Mambo ya nje wa Libya
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika nchini Comoro Leo amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa, Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma kuzungumzia hail ya siasa nchini Comoro. Katika Mkutano huo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwasilisha taarifa ya ziara maalum aliyoifanya Comoro tarehe 1 Desemba, 2015.
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Mheshimiwa Mohammed Al-Dairi aliyemtembelea na kufanya nae...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na OMR).
Makamu...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg