Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA KUJITOSHELEZA KUHUSU ESCROW

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba yake nzuri iliyojaa ufafanuzi bayana wa masuala makubwa ya kitaifa, likiwemo suala la Akaunti ya Escrow ya Tegeta, yaliyoleta mkanganyiko kwa wananchi, aliyoitoa jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee alipozungumza na wazee wa jiji la Dar es salaam.
Sisi Vijana tunampongeza kwa kubariki na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wizara yatolea ufafanuzi Safari za Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Nje ya Nchi

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Taarifa kwa Vyombo vya Habari -Ziara za Rais .docx 

 

11 years ago

Michuzi

DIRA YA DUNIA TV YAZUNGUMZA NA Mhe. RAIS JAKAYA KIKWETE KUHUSU WANYAMA PORI

Prince Charles na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ni miongoni mwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa mjini London, wenye lengo la kuzuia uwindaji wa wanyama waliohatarini kutoweka. Biashara hiyo yenye kuingiza takriban dola bilioni 19 kwa mwaka, imeenea kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya pembe za ndovu nchini China.  Zuhura Yunus wa BBC Swahili  amezungumza na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhusu janga hilo katika kipindi cha Dira ya Dunia ya BBC TV juu ya...

 

11 years ago

Michuzi

LUDEWA WAMPONGEZA RAIS DKT JAKAYA KIKWETE


Rais Dr Kikwete  Na  Francis Godwin Blog  WANANCHI  wa Ludewa  mkoani  Njombe  wamempongeza  Rais Dr Jakaya Kikwete kwa  hatua  yake ya  kuwashirikisha  wananchi wa maeneo husika katika suala la utatuzi wa mgogoro wa mpaka  kati ya Tanzania na Malawi
Hatua  ya  wananchi  hao  kumpongeza  Rais  Dr Kikwete  imekuja  huku  ikiwa ni  siku  tatu zimepita  toka  mbunge wao  wa jimbo  la Ludewa Deo Filikunjombe ,mbunge wa jimbo la Kyela Dk. Harrison Mwakyembe na mbunge wa   jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba Ya Mwenyekiti Wa CCM Taifa Mhe. Jakaya Kikwete kufunga Mkutano Mkuu wa chama 2015

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Mwenyekiti wa CCM Taifa akifunga mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika Dodoma.
Ni katika mkutano huu ambapo chama hicho kilimchagua Dr John Pombe Magufuli kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
Hii inakuwa mara ya mwisho kwa Mhe Kikwete kuwahutubia wajumbe wa mkutano huo akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Ujumbe Maalum wa Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenda kwa Sultan Qaboos wa Oman

Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akimkabidhi Mhe. Yousuf bin Alawi bin Abdulla, Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenda kwa Mhe. Sultani Qaboos bin Said Al Said, Mtawala wa Oman. Makabidhiano yakiendelea huku Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mhe. Ali Ahmed saleh akishuhudia. Waziri Membe akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Alawi bin Abdulla, Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani