Wapalestina wakimbia Gaza kaskazini
Umoja wa Mataifa wasema baadhi ya Wapalestina wahama Gaza kaskazini wakiogopa mashambulio yajayo yatayowalenga wao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wapalestina sita wauawa Gaza
Wapelina wapatao sita wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na Israel katika eneo la Gaza.
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Wapalestina wengi wauawa Gaza
Kumetokea vifo vingi katika eneo la Gaza kwa siku moja tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
172:Idadi ya wapalestina waliouawa Gaza
Mashambulizi ya angani yanayofanywa na Israel katika eneo la Gaza yameendelea huku oparesheni ya Isreal dhidi ya wapiganaji wa kipalestina ikiingia siku yake ya 7.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VybbdaYedb8/U8jYNmpv-bI/AAAAAAAF3TM/zpA8vS5meHo/s72-c/unnamed+(57).jpg)
Mama Asha Suleimani Iddi katika Futari ya Jumuiya Madrasatul Hidayatul Islamia ya Kijiji cha kidoti Wilaya ya Kaskazini “ A” Mkoa wa Kaskazini Unguja
Na Othman Khamis Ame, OMPRWakati kumi la mwanzo la Rehema na lile la pili la maghfira yaliyomo ndani ya mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan yakimalizika waumini wa Dini ya Kiislamu hivi sasa wanaendelea na ibada katika kukamilisha kumi la mwisho la mwezi huu mtukufu wa Ramadhani la kuachwa huru na moto. Ibada hii ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani inamuwajibikia kila muumini wa Dini hiyo aliyefikia balegh na akili timamu kuitekeleza ikiwa ni ya Nne kati ya tano ya nguzo za...
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli
Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.
10 years ago
BBCSwahili09 Aug
Israel yawakamata 7 waliochoma Wapalestina
Polisi wa Israeli wamewakamata watu 7 wanaoshukiwa kuchoma nyumba ya mpalestina katika ukingo wa magharibi na kuua mototo.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa
Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.
9 years ago
BBCSwahili04 Oct
Wapalestina wazuiwa kuinga Jerusalem
Polisi wa Israeli wametangaza mafuku ya kuingia kwenye mji wa zamani wa Jerusalem dhidi ya Wapalestina kwa muda wa siku mbili
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Wapalestina wanashukiwa kuua na kuteka
Jeshi la Israel limesema wapalestina wawili wanashukiwa kuhusika katika kuteka na kuua vijana watatu wakiisrael mwezi juni 2014
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania