Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapalestina wengi wauawa Gaza

Kumetokea vifo vingi katika eneo la Gaza kwa siku moja tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wapalestina sita wauawa Gaza

Wapelina wapatao sita wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na Israel katika eneo la Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapalestina wakimbia Gaza kaskazini

Umoja wa Mataifa wasema baadhi ya Wapalestina wahama Gaza kaskazini wakiogopa mashambulio yajayo yatayowalenga wao

 

11 years ago

BBCSwahili

172:Idadi ya wapalestina waliouawa Gaza

Mashambulizi ya angani yanayofanywa na Israel katika eneo la Gaza yameendelea huku oparesheni ya Isreal dhidi ya wapiganaji wa kipalestina ikiingia siku yake ya 7.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli

Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa

Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji wa kipalestina wauawa Gaza

Wanamgambo tisa wa kipalestina wameuawa katika mashambulizi ya angani yaliyofanywa na Israel katika ukanda wa Gaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN:Waliokufa Gaza wengi ni raia

Umoja wa Mataifa umesema robo tatu ya Wapalestina waliouawa kwa mashambulizi yanayofanywa na Israel huko Gaza ni raia.

 

11 years ago

BBCSwahili

20 wauawa katika shambulio la anga, Gaza

Mashambulio ya anga yaliyofanywa na Israel yamewaua zaidi ya watu 20 katika eneo la Gaza, wakiwemo raia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Watu 100 wauawa katika mashambulizi

Idadi ya watu waliofariki katika mashambulizi yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, katika siku nne zilizopita, imefika 100

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani