Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa
Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli
Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Wapalestina wengi wauawa Gaza
Kumetokea vifo vingi katika eneo la Gaza kwa siku moja tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina.
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wapalestina sita wauawa Gaza
Wapelina wapatao sita wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na Israel katika eneo la Gaza.
10 years ago
Habarileo15 Feb
Wanajeshi wanne wajeruhiwa Tanga
ASKARI sita wakiwemo wanne wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamejeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa mapigano baina yao na watu wanaodhaniwa kuwa wahalifu wakati wa msako maalumu wa kutafuta silaha zinazodaiwa kufichwa kwenye moja ya eneo la mapango ya Amboni.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa
Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.
10 years ago
BBCSwahili02 Aug
Wanajeshi 2 wa Uturuki wauawa
Wanajeshi wawili wa Uturuki wameuawa kwenye shambulizi la bomu katika kituo kimoja cha kijeshi mashariki mwa nchi.
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanajeshi wauawa Afghanistan
Polisi nchini Afghnaistan wamesema wanajeshi sita wameuawa katika shambulio la bomu mjini Kabul.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Wanajeshi wauawa Marekani
Mtu mwenye silaha amewaua askari 4 wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo ya jeshi hilo.
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Wanajeshi 50 wa AU wauawa Somalia
Wanajeshi 50 wa Muungano wa Afrika kutoka Uganda wameuawa kwenye shambulio lililofanywa na wapiganaji wa Al shabaab nchini Somalia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania