Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli
Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Waisraeli washtakiwa kuua Wapalestina
Maafisa wa mashtaka nchini Israel wamewashtaki washukiwa wawili kuhusiana na shambulio katika nyumba moja ya Wapalestina eneo la Ukingo Magharibi.
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Wapalestina wengi wauawa Gaza
Kumetokea vifo vingi katika eneo la Gaza kwa siku moja tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Palestina.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Wapalestina 2 wauawa,wanajeshi 4 wajeruhiwa
Wapalestina 2 wameuawa baada ya mashambulizi ya magari ambapo wanajeshi 4 Waisraeli walijeruhiwa.
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wapalestina sita wauawa Gaza
Wapelina wapatao sita wameuawa katika mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na Israel katika eneo la Gaza.
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mwanamke mpalestina auawa na Waisraeli
Polisi wa Israili wanasema kuwa Mpalestina amepigwa risasi na kuuawa,kwa kumdunga kisu askari wa Israeli
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Dereva Mpalestina awagonga Waisraeli
Polisi nchini Israeli wanasema kuwa dereva ambaye anaaminiwa kuwa Mpalestina amevurumisha gari katikati ya kundi la watu.
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Netanyahu atahadharisha Waisraeli Waarabu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema usalama utaimarishwa zaidi katika maeneo ya Wairsaeli Waarabu baada ya mshambuliaji kuua watu wawili mjini Tel Aviv.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Waisraeli waliochoma moto Mpalestina kuhukumiwa
Mahakama moja nchini Israel imewapata waisraeli wawili na hatia ya kumuua kijana wa kipalestina mwaka wa 2014.
9 years ago
BBCSwahili10 Oct
Kijana aliyewadunga kisu Waisraeli auawa
Polisi wa Israeli wanasema kuwa kijana Mpalestina amewadunga kisu Waisraeli wawili mjini Jerusalem.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania