Waisraeli washtakiwa kuua Wapalestina
Maafisa wa mashtaka nchini Israel wamewashtaki washukiwa wawili kuhusiana na shambulio katika nyumba moja ya Wapalestina eneo la Ukingo Magharibi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Wapalestina 2 wauawa na Waisraeli
Maafisa wa afya wa Palestina wanasema wapalestina wawili wameuawa baada ya vikosi vya Israeli kufyatua risasi katika ukingo wa Magharibi.
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Wapalestina wanashukiwa kuua na kuteka
Jeshi la Israel limesema wapalestina wawili wanashukiwa kuhusika katika kuteka na kuua vijana watatu wakiisrael mwezi juni 2014
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
Polis 4 washtakiwa kwa kuua mshukiwa
Maafisa wanne wa polisi wameshtakiwa baada ya kunaswa na kamera za siri CCTV wakimpiga risasi na kumuua mshukiwa mmoja wa uhalifu
11 years ago
BBCSwahili15 May
Nahodha, baharia 3 washtakiwa kuua Korea
Nahodha na wafanyakazi wengine watatu wa feri iliyozama Korea Kusini mwezi uliopita wameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia.
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Wafugaji washtakiwa kwa kuua simba 2 Kenya
Wafugaji wawili wa mifugo wamefikishwa mahakamani nchi Kenya kujibu mashtaka ya kuweka sumu kwenye mzoga wa ng'ombe na kusababisha vifo vya simba 2
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Dereva Mpalestina awagonga Waisraeli
Polisi nchini Israeli wanasema kuwa dereva ambaye anaaminiwa kuwa Mpalestina amevurumisha gari katikati ya kundi la watu.
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mwanamke mpalestina auawa na Waisraeli
Polisi wa Israili wanasema kuwa Mpalestina amepigwa risasi na kuuawa,kwa kumdunga kisu askari wa Israeli
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Netanyahu atahadharisha Waisraeli Waarabu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema usalama utaimarishwa zaidi katika maeneo ya Wairsaeli Waarabu baada ya mshambuliaji kuua watu wawili mjini Tel Aviv.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Waisraeli waliochoma moto Mpalestina kuhukumiwa
Mahakama moja nchini Israel imewapata waisraeli wawili na hatia ya kumuua kijana wa kipalestina mwaka wa 2014.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania