Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa

Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu.

 

10 years ago

GPL

ASKARI WATATU WAJERUHIWA KWA MLIPUKO WA BOMU SONGEA

Askari Polisi wakiwa eneo la tukio ikiwa ni kuimarisha ulinzi Eneo la tukio  likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi wawili wauawa kwa risasi

WAVUVI wawili wilayani Mlele, Katavi wameuawa  kwa kupigwa  risasi   na askari wa Game Reserve walipokuwa wakivua samaki  ndani ya  Hifadhi  ya Pori la Akiba la Ugala na mwenzao mmoja kujeruhiwa ...

 

11 years ago

Habarileo

Wanandoa wauawa kwa kupigwa risasi

MUME na mke wakazi wa kijiji cha Ndurumo kilichomo ndani ya makazi ya kambi ya wakimbizi ya Katumba wilayani Mlele, mkoani Katavi, wameuawa kwa kufyatuliwa risasi za moto wakiwa wamelala nyumbani mwao na mtu ambaye hajaweza kufahamika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu saba wauawa kwa risasi Burundi

Watu saba wameuawa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura kufuatia kinachodaiwa kuwa jaribio la wizi katika benki moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wauawa kwa kudai ng’ombe

WAKAZI watatu wilayani hapa, wameuawa kwa kupigwa na silaha za jadi na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Karongo, Kata ya Rwabwere. Marehemu hao ni Justus Wamara (49), Syrilo Sebastian...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa kwa bomu Mombasa

Watu watatu wameripotiwa kuuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Mombasa nchini Kenya.

 

11 years ago

Michuzi

News alert: watatu wapoteza maisha zaidi ya 60 wajeruhiwa kwa mabomu kwenye mabasi ya abiria nairobi leo

Watu watatu wamepoteza maisha na wengine 62 kujeruhiwa baada ya mabomu mawili kulipuka Jumapili ya leo katika barabara ya Thika, ambayo ni moja ya njia kuu zenye magari mengi jijini Nairobi, Kenya.Majeruhi 20 kati ya hao wako mahututi.


Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kenya Bw. Moses Ombati amenukuliwa akisema kuwa  mabomu hayo yamelipuka kwenye mabasi ya abiria mawili tofauti, ambapo Naibu Mkuu wa kitengo cha kutengua Mabomu, Bw, Eliud Lagat amesema milipuko hiyo imetokana na mabomu...

 

10 years ago

CloudsFM

MWEKEZAJI AJERUHI WATU SITA KWA RISASI ZANZIBAR

Jeshi la Polisi Zanzibar linamshikilia mwekezaji kutoka Ufaransa, Ivan Kodeh kwa tuhuma za kuwajeruhi watu sita wakiwamo waandishi wa habari kwa risasi baada ya uongozi wa Hoteli ya Cristal kudaiwa kugoma kukabidhi madaraka kwa uongozi mpya huko Paje, Mkoa wa Kusini Unguja.
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Zanzibar (DDCI), Salum Msangi aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa tano asubuhi katika hoteli hiyo.

Aliwataja waliojeruhiwa kuwa ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani