Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wauawa kwa kudai ng’ombe

WAKAZI watatu wilayani hapa, wameuawa kwa kupigwa na silaha za jadi na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Karongo, Kata ya Rwabwere. Marehemu hao ni Justus Wamara (49), Syrilo Sebastian...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa kwa bomu Mombasa

Watu watatu wameripotiwa kuuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Mombasa nchini Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

 

9 years ago

Mwananchi

Watanzania watatu wauawa kwa ujambazi Uganda

Polisi nchini Uganda wamewaua watu watatu wanaoaminiwa kuwa ni Watanzania akiwamo mwanamke mmoja na kuwashikilia wengine watatu  kwa madai ya kuvamia kituo cha uvuvi  kilichopo  katika kisiwa cha Migingo  pwani ya Ziwa Victoria.

 

9 years ago

Mwananchi

Wakenya watatu wauawa kwa ujambazi Arusha

Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha.

 

10 years ago

Mtanzania

Aangusha ng’ombe watatu kusherehekea uwaziri

mwijageNa Elizabeth Mjatta
NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, anadaiwa kuandaa ng’ombe watatu ambao watachinjwa leo kwa ajili ya kusherehekea kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Mwijage, ambaye ni Mbunge wa Muleba Kaskazini (CCM), aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika nafasi hiyo Januari 24, mwaka huu, baada ya kufanya mabadiliko madogo katika baraza lake la mawaziri baada ya kuibuka sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Taarifa ambazo gazeti hili limezipata...

 

11 years ago

Habarileo

Ng’ombe 150 wauawa Biharamulo

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TibaijukaNG’OMBE 150 wameuawa na askari wa Wanyama Pori katika Hifadhi ya Biharamulo, kutokana na mgogoro uliokuwepo wa kuwaondoa baadhi ya wafugaji, waliovamia eneo la hifadhi.

 

9 years ago

Habarileo

Mkulima, ng’ombe 71 wauawa Morogoro

MKULIMA mmoja ameuawa kwa kuchomwa na mkuki na zaidi ya ng’ombe 71 wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga wakati wa mapigano ya wakulima na wafugaji, yaliyotokea katika Kijiji cha Dihinda katika Kata ya Kanga Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro.

 

11 years ago

GPL

WANNE WAUAWA MWANZA WAKIDAIWA KUIBA NG'OMBE

WATU wanne wameuawa na wananchi waliokuwa na silaha za jadi kisha kukatwa mapanga wakituhumiwa kuiba ng'ombe katika kijiji cha Igwambiti, Kitongoji cha Buhongwa, Kata ya Nyamagana, Mkoani Mwanza leo asubuhi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al shabab watatu wauawa Kenya

Jeshi ya Kenya linasema limewaua magaidi watatu wa Al Shabab katika eneo la Lamu lililoko Pwani ya Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani