Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania watatu wauawa kwa ujambazi Uganda

Polisi nchini Uganda wamewaua watu watatu wanaoaminiwa kuwa ni Watanzania akiwamo mwanamke mmoja na kuwashikilia wengine watatu  kwa madai ya kuvamia kituo cha uvuvi  kilichopo  katika kisiwa cha Migingo  pwani ya Ziwa Victoria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakenya watatu wauawa kwa ujambazi Arusha

Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wauawa kwa kudai ng’ombe

WAKAZI watatu wilayani hapa, wameuawa kwa kupigwa na silaha za jadi na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Karongo, Kata ya Rwabwere. Marehemu hao ni Justus Wamara (49), Syrilo Sebastian...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa kwa bomu Mombasa

Watu watatu wameripotiwa kuuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Mombasa nchini Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUHUMIWA WATATU WA UJAMBAZI WAUWAWA MKOANI KIGOMA

Na Editha Karlo,Kigoma
JESHI  la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira ya saa nane usiku katika eneo la  mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya Kakonko na Kibondo, askari Polisi wakiwa doria walirushiana risasi na majambazi ambao idadi yao haijajuikana na...

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI NA RAIA WATATU WAPOTEZA MAISHA KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI JIJINI DAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi la Polisi  na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi waliovamia katika kituo hicho usiku wa kuamkia leo.  Viongozi wa Jeshi la Polisi nchini wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, wakitembelea maeneo mbalimbali ambayo majambazi walidhuru, katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es...

 

10 years ago

BBCSwahili

Askari watatu wa AU wauawa Somalia

Jeshi la kulinda amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia limesema askari wake watatu wameuawa nchini Somalia

 

10 years ago

BBCSwahili

Al shabab watatu wauawa Kenya

Jeshi ya Kenya linasema limewaua magaidi watatu wa Al Shabab katika eneo la Lamu lililoko Pwani ya Kenya.

 

11 years ago

Habarileo

Watatu wauawa wakidaiwa kupora pikipiki

VIJANA watatu ambao hawajafahamika majina yao wanaokadiriwa kuwa na kati ya miaka 25 na 30, wameuawa na wananchi na kisha kuchomwa moto kwa tuhuma za kupora pikipiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani