ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI NA RAIA WATATU WAPOTEZA MAISHA KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI JIJINI DAR
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi la Polisi na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi waliovamia katika kituo hicho usiku wa kuamkia leo.
Viongozi wa Jeshi la Polisi nchini wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, wakitembelea maeneo mbalimbali ambayo majambazi walidhuru, katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/uBT-csvC4WU/default.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Askari wanne na raia 14 wapoteza maisha katika ajali ya gari Singida
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled65.jpg)
Baadhi ya miili ya wakazi wa kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi, waliogongwa na basi la Summry ikiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Singida mjini humo.
![DSC08054](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC08054.jpg)
Baadhi ya ndugu na jamaa wakiwa wanatafakari juu ya ndugu zao kugongwa na basi la summry la kufariki dunia usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Utaho wilaya ya Ikungi.
![DSC08077](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC08077.jpg)
Baadhi ya ndugu wakiwa nje ya chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida,wakisubiri kuchukua miili ya ndugu zao...
10 years ago
VijimamboASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s72-c/kova18_232_300.jpg)
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s1600/kova18_232_300.jpg)
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s72-c/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu
![](http://4.bp.blogspot.com/-zDxY1z3vIPw/Uyc1xvgosTI/AAAAAAAFUO8/LNeVhw9jGsY/s1600/SelemanKova.jpg)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu. Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...
10 years ago
MichuziMAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8L_1vwC76ec/U58ojgglJJI/AAAAAAAFrHo/yDNlFz_AkHE/s72-c/0.jpg)
askari wawili wapoteza maisha katika ajali chalinze leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-8L_1vwC76ec/U58ojgglJJI/AAAAAAAFrHo/yDNlFz_AkHE/s1600/0.jpg)
Na John Gagarini, Kibaha
WATU wawili wamefariki dunia huku mmoja akijeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani, kamishna Msaidizi mwandamizi wa polisi (SACP) Ulrich Matei (pichani) amesema kuwa ajali hiyo ilihusisha lori na gari dogo. Kamanda Matei alisema kuwa ajali hiyo ilitokea Juni 16 mwaka huu majira saa 1:15 usiku eneo la Chamakweza kata ya Pera tarafa ya Chalinze wilayani...
10 years ago
VijimamboMAAFISA, ASKARI NA WATUMISHI RAIA WA JESHI LA MAGEREZA WAPATIWA MAFUNZO YA JINSIA, ROMBO GREEN VIEW HOTEL - JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-3SQhmbAYeew/VWHoUA4ZSwI/AAAAAAAHZiI/MXNk5TR5zXQ/s72-c/unnamed26.jpg)
watatu wapoteza maisha katika ajali ya basi mkoani mbeya leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-3SQhmbAYeew/VWHoUA4ZSwI/AAAAAAAHZiI/MXNk5TR5zXQ/s640/unnamed26.jpg)