Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakenya watatu wauawa kwa ujambazi Arusha

Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watanzania watatu wauawa kwa ujambazi Uganda

Polisi nchini Uganda wamewaua watu watatu wanaoaminiwa kuwa ni Watanzania akiwamo mwanamke mmoja na kuwashikilia wengine watatu  kwa madai ya kuvamia kituo cha uvuvi  kilichopo  katika kisiwa cha Migingo  pwani ya Ziwa Victoria.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa kwa bomu Mombasa

Watu watatu wameripotiwa kuuawa na wengine sita kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Mombasa nchini Kenya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wauawa kwa kudai ng’ombe

WAKAZI watatu wilayani hapa, wameuawa kwa kupigwa na silaha za jadi na wananchi wenye hasira katika Kijiji cha Karongo, Kata ya Rwabwere. Marehemu hao ni Justus Wamara (49), Syrilo Sebastian...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wauawa kwa risasi, sita wajeruhiwa

Watu wawili akiwamo mwanafunzi wa kidato cha tatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na kundi la watu wanne waliokuwa wakitumia silaha aina ya SMG na SAR katika Kijiji cha Alidonyowassu, Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi jijini Arusha washangilia kuuwawa kwa mtuhumiwa wa ujambazi

Picha ya juu na chini  wananchi wa jiji la Arusha  waliojitokeza kuuangalia mwili wa  jambazi huyo hatari aliyeuawa na polisi usiku wa kuamkia leo. (Habari picha kwa hisani ya Woindeshizza blog).

Jambazi mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Abudallah alimaarufu kwa jina la Ramadhani Ndonga (37) mkazi wa Moivo  ameuwawa baada ya kupigwa risasi katika majibizano na askari wa jeshi la polisi.

Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WATUHUMIWA WATATU WA UJAMBAZI WAUWAWA MKOANI KIGOMA

Na Editha Karlo,Kigoma
JESHI  la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira ya saa nane usiku katika eneo la  mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya Kakonko na Kibondo, askari Polisi wakiwa doria walirushiana risasi na majambazi ambao idadi yao haijajuikana na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakenya 12 wauawa mpakani na Somalia

Kenya imethibitisha kuwa watu 12 wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia, katika shambulio lililofanywa na Al shabaab.

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI WANNE WA JESHI LA POLISI NA RAIA WATATU WAPOTEZA MAISHA KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI JIJINI DAR

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi la Polisi  na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi waliovamia katika kituo hicho usiku wa kuamkia leo.  Viongozi wa Jeshi la Polisi nchini wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, wakitembelea maeneo mbalimbali ambayo majambazi walidhuru, katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujambazi mpya waibuka Arusha

JIJI la Arusha limekumbwa na taharuki baada ya kuibuka kwa matukio ya wanawake wanaoendesha magari kuvamiwa na kupigwa risasi na watu wasiofahamika ambao hutoweka bila kuchukua chochote. Hadi sasa, wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani