Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujambazi mpya waibuka Arusha

JIJI la Arusha limekumbwa na taharuki baada ya kuibuka kwa matukio ya wanawake wanaoendesha magari kuvamiwa na kupigwa risasi na watu wasiofahamika ambao hutoweka bila kuchukua chochote. Hadi sasa, wanawake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wakenya watatu wauawa kwa ujambazi Arusha

Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi jijini Arusha washangilia kuuwawa kwa mtuhumiwa wa ujambazi

Picha ya juu na chini  wananchi wa jiji la Arusha  waliojitokeza kuuangalia mwili wa  jambazi huyo hatari aliyeuawa na polisi usiku wa kuamkia leo. (Habari picha kwa hisani ya Woindeshizza blog).

Jambazi mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Abudallah alimaarufu kwa jina la Ramadhani Ndonga (37) mkazi wa Moivo  ameuwawa baada ya kupigwa risasi katika majibizano na askari wa jeshi la polisi.

Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoani Arusha Liberatus Sabas, alisema kuwa tukio hilo...

 

10 years ago

Dewji Blog

ZAMZAM waibuka mabingwa kombe la Ng’ombe Jijini Arusha

unnamed (1)

Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha, Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Ng”ombe kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla ya mabao 2-0 jana katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni jijini Arusha.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

unnamed (2)

Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha,Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Jezi kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla...

 

5 years ago

Michuzi

WATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA WAKIWA NJIANI KWENDA KUFANYA UHALIFU MKOANI ARUSHA


Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akiongozana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mwenye Suti ya blue wakitoka kukagua gari Lilikuwa likitumiwa na majambazi hao aina ya Toyota Crown lenye namba za usajili T777DSJ wakati akitoa taarifa ya kukamatwa kwa majambazi wanne Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akilipongeza Jeshi la Polisi kwa kutumia sheria ya tii bila shuruti na kufanikiwa kukamata majambazi wanne bila kuwapiga...

 

10 years ago

Vijimambo

Ugonjwa mpya waibuka Mtwara

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk. Seif Rashid.
Ugonjwa uliodhaniwa kuwa ni surua, ulioibuka katika shule ya Msingi Mkoma1, Kata ya Mnikachi wilaya ya Newala, Mtwara, imebainika siyo surua baada ya sampuli zilizochunguzwa kuonesha kuwa ugonjwa huo ni rubella.

Dalili za ugonjwa huo zinazodaiwa kuwa sawa na ugonjwa wa surua zimeelezwa kuwa ni pamoja na kuwashwa macho, homa, kuharisha, ngozi kuwasha, vipele, kubabuka midomo, mafua, kuumwa tumbo, ngozi kukakamaa pamoja na kupoteza hamu ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka mauaji ya askari Kinapa

Imedaiwa kuwa askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) alifariki dunia baada ya risasi zaidi ya 20 kutoka katika bunduki ya SMG kufyatuka mfululizo na kumpata.

 

10 years ago

Mtanzania

Mgogoro mpya wamiliki mabasi, madereva waibuka

mabasiNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MGOGORO mpya umeibuka kati ya wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani baada ya wamiliki kutishia kuwafukuza kazi madereva wao walioshiriki mgomo.
Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya madereva walioshiriki katika mgomo huo wa siku mbili kufukuzwa kazi na baadhi ya wamiliki wa mabasi hayo.
Kutokana na hatua hiyo, Mhasibu Mkuu wa Umoja wa Madereva Tanzania (UWAMATA) Issa Regan, aliwataka matajiri waliowafukuza madereva wao kuwarudisha kazini mara...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014

Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani