ZAMZAM waibuka mabingwa kombe la Ng’ombe Jijini Arusha
Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha, Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Ng”ombe kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla ya mabao 2-0 jana katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni jijini Arusha.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha,Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Jezi kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi15 May
FAINALI YA KOMBE LA NG'OMBE ARUSHA NI ZAMZAM V/S NYOTA
![kombe 3](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/JpKTbxQG6-cikXiJX5K9RmIQBQeUOjSb1vb9Gao2PU9qgm5f5qhQ4GYk-0W2DtMLP9nGxV_7rcFIcdVlCbl5evFcotwWD1ydC1kEh7qpXYwBuQ=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/05/kombe-3.jpg)
Mfadhili wa michuano ya kombe la Ng'ombe ambaye pia mkurugenzi wa kampuni ya East Link Tanzania Ltd,Kim Fute wapili kutoka kushoto akibadilishana mawazo na baadhi ya vijana waliofika kushuhudia michuano hiyo ,michuano hiyo itahitimishwa mapema siku ya jumapili wiki hiii katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni ambapo Timu ya Zamzam na Nyota watachuana.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).
![kombe na view meru mlima](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/AmYXIRCvQ4u4bA6SelJnGnniG2qpVNO9ah6NI76cyvI9BBbiM1UqGjodYcsDG4wfc8oMyQaHXCrghEeMP4qgsYws6myq00zC6kpOTRzd5uDckwuhdKiJaeQToQo56KnJHW66=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/05/kombe-na-view-meru-mlima.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-5TrpycYeV2E/VV2OlmDhMII/AAAAAAAAP0I/T50iG5XvGu0/s72-c/E86A7998%2B%2528800x533%2529.jpg)
MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YAWABEBA KILIMANJRO FC INAYOSHIRIKI LIGI YA MABINGWA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-5TrpycYeV2E/VV2OlmDhMII/AAAAAAAAP0I/T50iG5XvGu0/s640/E86A7998%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-W1i5PR8RQWQ/VV2Oq-5D8aI/AAAAAAAAP0Y/6wvFVclEun0/s640/E86A8000%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-E6u6vTU7pm8/VV2OsJk5VjI/AAAAAAAAP0g/uRuHt13nQ_I/s640/E86A8003%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FJG9O5FvmqU/VV2OaXGNHSI/AAAAAAAAPzY/eKIODxPQfKM/s640/E86A7973%2B%2528800x533%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5TrpycYeV2E/VV2OlmDhMII/AAAAAAAAP0I/T50iG5XvGu0/s72-c/E86A7998%2B%2528800x533%2529.jpg)
MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YAWABEBA KILIMANJRO FC INAYOSHORIKI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-5TrpycYeV2E/VV2OlmDhMII/AAAAAAAAP0I/T50iG5XvGu0/s640/E86A7998%2B%2528800x533%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Nph5LA4IZp8/VV2OjShc3GI/AAAAAAAAPz8/QW_uKrShcao/s640/E86A7979%2B%2528800x533%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Kilimanjaro, Tanzanite hoi , Uganda waibuka mabingwa
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Ujambazi mpya waibuka Arusha
JIJI la Arusha limekumbwa na taharuki baada ya kuibuka kwa matukio ya wanawake wanaoendesha magari kuvamiwa na kupigwa risasi na watu wasiofahamika ambao hutoweka bila kuchukua chochote. Hadi sasa, wanawake...
9 years ago
Habarileo13 Sep
Zimamoto mabingwa Kombe la Makocha
MAFANDE wa timu ya Zimamoto wametwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Makocha kwa kuifunga Miembeni City kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali uliochezwa juzi kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja.
9 years ago
Habarileo22 Sep
Temeke mabingwa Kombe la ARS 2015
MICHUANO ya soka ya Airtel Rising Stars kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, ilifikia tamati ambapo timu ya wasichana ya Temeke walitwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni kwa penalti.
10 years ago
VijimamboAZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mabingwa Manyara bado kupewa kombe
CHAMA cha Soka mkoani Manyara (MARFA), kimeshindwa kukabidhi Kombe kwa mabingwa wapya wa mkoa, Tanzanite FC, baada ya mabingwa wa mwaka jana Magugu Rangers kushindwa kulikabidhi kwa Kamati ya Mashindano....