Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YAWABEBA KILIMANJRO FC INAYOSHORIKI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini A rusha ,kanda ya Kaskazini ,Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil ,1.5 kwa mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro(KRFA) Gudluck Mushi kwa ajili ya kuisadia timu ya Kilimanjaro fc inayoshiriki ligi ya mabingwa wa mikoaikiwa kituo cha Lindi.
Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Gudluck Mushi akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa pesa kiasi cha sh Mil,1.5 kutoka kampuni ya Megatrade kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YAWABEBA KILIMANJRO FC INAYOSHIRIKI LIGI YA MABINGWA.

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini A rusha ,kanda ya Kaskazini ,Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil ,1.5 kwa mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro(KRFA) Gudluck Mushi kwa ajili ya kuisadia timu ya Kilimanjaro fc inayoshiriki ligi ya mabingwa wa mikoaikiwa kituo cha Lindi.Hundi iliyotolewa na kampuni ya Megatrade Investment Ltd.Menejamauzo wa kanda ya Kaskazini wa kampuni ya Megatrade,Edmund Rutaraka akizungumza jambo mara baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YATOA SIKU KUU KWA WATOTO WA KITUO CHA AMANI CENTER

Watoto waishio katika mazingira magumu wanaolelewa katika kituo cha Amani Center wakifurahia zawadi zilizotolewa na kampuni ya Megatrade kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka mpya.Meneja mauzo wa kam-puni ya Megatrade Investment ya jijini Arusha,Edmund Rutaraka akiwa na wafanyakazi wenzake pamoja na wafanyakazi katika kituo cha kulelea watoto waishio katika mazingira mag4umu cha Aman Center wakati alipofika kituoni hapo kukabidhi zawadi kwa ajili ya siku kuu za Christmas na Mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makundi Ligi ya Mabingwa Mikoa hadharani

LIGI ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2013/14, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 10 hadi Juni 2, ambapo mabingwa 27 wa mikoa hiyo wamegawanywa makundi matatu ya timu tisa kila moja...

 

10 years ago

Michuzi

PAN AFRICA FC NA CHANGANYIKENI FC,KUSAKA NAFASI YA KUCHEZA LIGI YA MABINGWA WA MIKOA

Baada ya kumalizika kwa michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam na timu za FFU na Zakhem kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye makundi yao,kesho 20/03/2015 utapigwa mchezo mmoja wa kusaka nafasi ya kuungana na mabingwa hao kushiriki michuano ya ligi ya mikoa.Mchezo huo wa mtoano utakaopigwa katika uwanja wa Mizinga Kigamboni,utazikutanisha timu za Pan Africa dhidi ya Changanyikeni ambazo zimemaliza katika nafasi ya pili kwenye makundi yao.Kwa mujibu wa kamati ya mashindano ya chama cha...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

10 years ago

Dewji Blog

ZAMZAM waibuka mabingwa kombe la Ng’ombe Jijini Arusha

unnamed (1)

Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha, Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Ng”ombe kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla ya mabao 2-0 jana katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni jijini Arusha.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

unnamed (2)

Mfadhili wa fainali za kombe la Ng’ombe jijini Arusha,Kim Fute akimkabidhi zawadi ya Jezi kocha wa klabu ya Zamzam,Omary Athuman mara baada ya timu yake kuilaza klabu ya Nyota kwa jumla...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni kivumbi ligi ya mabingwa Ulaya

Michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya itaendelea jumanne.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani