Mabingwa Manyara bado kupewa kombe
CHAMA cha Soka mkoani Manyara (MARFA), kimeshindwa kukabidhi Kombe kwa mabingwa wapya wa mkoa, Tanzanite FC, baada ya mabingwa wa mwaka jana Magugu Rangers kushindwa kulikabidhi kwa Kamati ya Mashindano....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo31 Jul
Ukatili wa kijinsia bado kero Manyara
UKATILI wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana ni moja ya vikwazo vya maendeleo mkoani Manyara, vinavyochangiwa na mila na desturi potofu katika jamii hiyo.
9 years ago
Habarileo13 Sep
Zimamoto mabingwa Kombe la Makocha
MAFANDE wa timu ya Zimamoto wametwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Makocha kwa kuifunga Miembeni City kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali uliochezwa juzi kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja.
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
FA:Wenger akiri kupendelea kombe la mabingwa
10 years ago
VijimamboAZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0.Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame...
9 years ago
Habarileo22 Sep
Temeke mabingwa Kombe la ARS 2015
MICHUANO ya soka ya Airtel Rising Stars kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, ilifikia tamati ambapo timu ya wasichana ya Temeke walitwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni kwa penalti.
9 years ago
Bongo509 Nov
Nigeria mabingwa wa dunia kombe la vijana
Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana.
Nigeria iliwafunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 ambapo goli la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Victor Osimhen na Funsho Ibrahim Bamgboye akiongeza bao la pili na la ushindi.
Kikosi cha cha vijana cha Nigeria kimeweza kutetea ubingwa wake baada ya kutwaa taji hilo la dunia la vijana mwaka 2013 walipoishinda Meixco kwa mabao 3-0.
Mshambuliajia Victor Osimhen...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
TP Mazembe yatwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika
Mshambuliaji Mtanzania wa Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto) na mchezaji mwenzake raia wa Ghana, Solomon Asante (kiungo wa kati) wakishangilia baada ya kufunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria.
Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015.
Na Rabbi Hume
Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC imetwaa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria kwa goli mbili (2) kwa bila...
10 years ago
GPLBARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
10 years ago
Vijimambo02 Jun
USHAHIDI WA RUSHWA WALIYO TOA SOUTH AFRICA NA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA KOMBE LA DUNIA 2010
Kwa takribani wiki mbili sasa neno ‘rushwa’ limekuwa likiliandama sana shirikisho la soka duniani FIFA.Wiki iliyopita maafisa 10 wa shirikisho hilo walikamatwa na serikali ya Marekani kwa kujihusisha na skendo ya ubadhirifu wa £100m, jambo ambalo lilipelekea wadau mbalimbali kumuomba Rais wa shirikisho hilo Sepp Blatter kujiuzulu. Jerome Valcke
Jerome Valcke Hata hivyo Blatter amegoma kufanya hivyo, lakini ikiwa suala la ubadhirifu wa £100m likiwa bado la moto, leo hii umetolewa ushahidi...