Nigeria mabingwa wa dunia kombe la vijana
Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana.
Nigeria iliwafunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 ambapo goli la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Victor Osimhen na Funsho Ibrahim Bamgboye akiongeza bao la pili na la ushindi.
Kikosi cha cha vijana cha Nigeria kimeweza kutetea ubingwa wake baada ya kutwaa taji hilo la dunia la vijana mwaka 2013 walipoishinda Meixco kwa mabao 3-0.
Mshambuliajia Victor Osimhen...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-1pCCsQww79Q/U5vBdk-1g1I/AAAAAAAFqe4/kuBbtiS99Y0/s72-c/article-2657446-1EBEA91A00000578-850_964x386.jpg)
Mabingwa watetezi kombe la Dunia Spain Mbendembende mbele ya Holland, yachapwa 5-1
![](http://3.bp.blogspot.com/-1pCCsQww79Q/U5vBdk-1g1I/AAAAAAAFqe4/kuBbtiS99Y0/s1600/article-2657446-1EBEA91A00000578-850_964x386.jpg)
Na Sultani Kipingo
wa Globu ya Jamii
Siku ya tatu tu tokea michuano ya kombe la Dunia ianze nchini Brazil, tayari mabingwa watetezi Spain wanakuta kombe hilo linateleza mikononi mwao. Japokuwa miaka minne iliyopita walipoteza mchezo wao kwa kwanza dhidi ya Switzerland huko Afrika ya Kusini, lakini hiyo haiwezi kulinganishwa na kilichotokea uwanja wa Fonte Nova katika mji wa Salvador ulio Kaskazini-Mashariki ya Brazil usiku wa kuamkia leo baada ya kuchwapwa bao 5-1 na Holland. Hilo ni...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Waafrika vijana watakaong’ara Kombe la Dunia 2014
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Nigeria imefuzu kwa kombe la dunia la U20
9 years ago
StarTV07 Nov
 Kombe la Dunia U-17: Mali, Nigeria kucheza fainali Jumapili.
Hatimaye ndoto ya timu mbili za Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 imetimia baada ya timu za taifa za Mali na Nigeria Golden Eaglets kushinda mechi kwa vipigo vizito na kutinga fainali ya michuano hiyo nchini Chile.
Timu ya taifa ya Mali imetinga fainali hiyo kwa mara ya kwanza baada kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ubeligiji iliyokuwa ya kwanza kujipataia bao kupitia Jorn Vancamp baada ya kuihadaa ngome ya Mali na likiwa ni bao la kwanza kufungwa...
9 years ago
Habarileo13 Sep
Zimamoto mabingwa Kombe la Makocha
MAFANDE wa timu ya Zimamoto wametwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Makocha kwa kuifunga Miembeni City kwa mikwaju ya penalti 4-3 katika mchezo wa fainali uliochezwa juzi kwenye uwanja wa Amaan mjini Unguja.
9 years ago
Habarileo22 Sep
Temeke mabingwa Kombe la ARS 2015
MICHUANO ya soka ya Airtel Rising Stars kwa vijana chini ya umri wa miaka 17, ilifikia tamati ambapo timu ya wasichana ya Temeke walitwaa ubingwa baada ya kuwafunga majirani zao wa Kinondoni kwa penalti.
10 years ago
VijimamboAZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
FA:Wenger akiri kupendelea kombe la mabingwa
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mabingwa Manyara bado kupewa kombe
CHAMA cha Soka mkoani Manyara (MARFA), kimeshindwa kukabidhi Kombe kwa mabingwa wapya wa mkoa, Tanzanite FC, baada ya mabingwa wa mwaka jana Magugu Rangers kushindwa kulikabidhi kwa Kamati ya Mashindano....