Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


 Kombe la Dunia U-17: Mali, Nigeria kucheza fainali Jumapili.

Hatimaye ndoto ya timu mbili za Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 imetimia baada ya timu za taifa za Mali na Nigeria  Golden Eaglets kushinda mechi kwa vipigo vizito na kutinga fainali ya michuano hiyo nchini Chile.

Timu ya taifa ya Mali imetinga fainali hiyo kwa mara ya kwanza  baada kuibuka  na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ubeligiji iliyokuwa ya kwanza kujipataia bao kupitia Jorn Vancamp baada ya kuihadaa ngome ya Mali na likiwa ni bao la kwanza kufungwa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia

Marekani imekata tiketi kucheza fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Ujerumani 2-0 katika mchezo wa nusu fainali

 

10 years ago

Mwananchi

Idris adai Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia

Baada ya kuishiwa pointi ya kuchangia wakati wenzake wakizungumzia mpira wa miguu na jinsi nchi za Afrika zinavyoboroka katika mashindano ya kimataifa, mwakilishi wa Tanzania, Idris aliamua kutibua maongezi hayo kwa kusema Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini kucheza mechi ya kwanza Kombe la Dunia

Sudan Kusini inajiandaa kucheza mechi yake ya kwanza kabisa ya kufuzu kwa Kombe la Dunia itakapokutana na Mauritania Jumatano.

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya jana ya kufuzu kucheza kombe la dunia Urusi 2018

taifa stars vs nigeria

Kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Timu yetu ya Taifa Stars iliyochezwa jana usiku imeweza kufuta ndoto zake za kusonga mbele baada ya kupata matokeo mabaya zaidi kwa kufungwa 5-0, bao ambazo zinafanya matokeo kuwa 7-2, dhidi ya mabao ambayo Stars iliweza kuyapata awali mchezo uliochezwa nchini na kutoka sare ya 2-2.

CONMEBOL – Amerika Kusini
Columbia 0 – 1 Argentina

Venezuela 1 – 3 Bolivia

Paraguay 2 – 1 Bolivia

Uruguay 3 – 0 Chile

Brazil 3 – 0 Peru

CAF – Afrika
Rwanda 1 – 3 Libya

 

11 years ago

Mwananchi

Nigeria, Mali zatinga robo fainali

Timu za taifa za Nigeria na Mali jana zilitinga hatua ya robo fainali ya Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN baada ya kuzichapa Afrika Kusini na Msumbiji katika fainali hizo zinazoendelea huko Afrika Kusini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Barcelona fainali Kombe la dunia la Vilabu

Mshambuliaji Luis Suarez ameipeleka timu yake ya Barcelona, katika hatua ya fainali ya kombe la dunia la vilabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Costa hatarini kukosa fainali za Kombe la Dunia

Costa alicheza kwa dakika tisa mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa sababu ya kusumbuliwa na misuli.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil

MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Owens kusimamia fainali Kombe la Dunia la Raga

Nigel Owens ndiye atakayekuwa mwamuzi kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Raga itakayochezwa Jumamosi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani