Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idris adai Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia

Baada ya kuishiwa pointi ya kuchangia wakati wenzake wakizungumzia mpira wa miguu na jinsi nchi za Afrika zinavyoboroka katika mashindano ya kimataifa, mwakilishi wa Tanzania, Idris aliamua kutibua maongezi hayo kwa kusema Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kucheza fainali Kombe la Dunia

Marekani imekata tiketi kucheza fainali za Kombe la Dunia baada ya kuibwaga Ujerumani 2-0 katika mchezo wa nusu fainali

 

9 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini kucheza mechi ya kwanza Kombe la Dunia

Sudan Kusini inajiandaa kucheza mechi yake ya kwanza kabisa ya kufuzu kwa Kombe la Dunia itakapokutana na Mauritania Jumatano.

 

9 years ago

StarTV

 Kombe la Dunia U-17: Mali, Nigeria kucheza fainali Jumapili.

Hatimaye ndoto ya timu mbili za Afrika kucheza fainali ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 imetimia baada ya timu za taifa za Mali na Nigeria  Golden Eaglets kushinda mechi kwa vipigo vizito na kutinga fainali ya michuano hiyo nchini Chile.

Timu ya taifa ya Mali imetinga fainali hiyo kwa mara ya kwanza  baada kuibuka  na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ubeligiji iliyokuwa ya kwanza kujipataia bao kupitia Jorn Vancamp baada ya kuihadaa ngome ya Mali na likiwa ni bao la kwanza kufungwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Matokeo ya michezo ya jana ya kufuzu kucheza kombe la dunia Urusi 2018

taifa stars vs nigeria

Kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Timu yetu ya Taifa Stars iliyochezwa jana usiku imeweza kufuta ndoto zake za kusonga mbele baada ya kupata matokeo mabaya zaidi kwa kufungwa 5-0, bao ambazo zinafanya matokeo kuwa 7-2, dhidi ya mabao ambayo Stars iliweza kuyapata awali mchezo uliochezwa nchini na kutoka sare ya 2-2.

CONMEBOL – Amerika Kusini
Columbia 0 – 1 Argentina

Venezuela 1 – 3 Bolivia

Paraguay 2 – 1 Bolivia

Uruguay 3 – 0 Chile

Brazil 3 – 0 Peru

CAF – Afrika
Rwanda 1 – 3 Libya

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania watwaa Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa kuichapa Burundi 3-1

 

11 years ago

Michuzi

WABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA

 Balozi wa Brazili Tanzania Mhe. Francisco Carlos na Mkewe wakisheherekea uzinduzi wa Kombe la Dunia ambalo limeanza usiku wa kuamkia leo. Balozi huyo aliandaa tafrija katika hoteli ya Serena ambapo Wabrazili waishio Tanzania walishiriki pamoja na marafiki mbalimbali   Balozi wa Brazili hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos akibadilishana mawazo na Rosalie Lehel kutoka IFAD ambaye alikuwa miongoni mwawageni walio alikwa katika kusheherekea uzinduzi wa kombe la dunia ambao linafanyika nchini...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

11 years ago

BBCSwahili

Al Ahly kucheza Kombe la Shirikisho

Timu ya Al Ahly ya Misri watakabiliana na Difaa Hassani Jadida ya Morocco katika mashindano ya Kombe la Shirikisho

 

11 years ago

Dewji Blog

Mfaransa Sean Garnier aja Tanzania kuonyesha umahiri wa kucheza mpira wa mtaani huku akibinuka sarakasi na kucheza dansi

Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohan’s John Ntuli (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo. Pembeni ni Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s Vijay Joshi.

Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani