Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA

 Balozi wa Brazili Tanzania Mhe. Francisco Carlos na Mkewe wakisheherekea uzinduzi wa Kombe la Dunia ambalo limeanza usiku wa kuamkia leo. Balozi huyo aliandaa tafrija katika hoteli ya Serena ambapo Wabrazili waishio Tanzania walishiriki pamoja na marafiki mbalimbali   Balozi wa Brazili hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos akibadilishana mawazo na Rosalie Lehel kutoka IFAD ambaye alikuwa miongoni mwawageni walio alikwa katika kusheherekea uzinduzi wa kombe la dunia ambao linafanyika nchini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pitbull ang’ara uzinduzi Kombe la Dunia 2014

Kama uliangalia ufunguzi wa Kombe la Dunia ulipata bahati ya kumwona mwanamuziki Armando Christian Pérez mwenye umri wa miaka 33 ambaye jina lake la jukwaani anaitwa Pitbull, rapa mahiri kutoka nchini Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania watwaa Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa kuichapa Burundi 3-1

 

11 years ago

Mwananchi

Idris adai Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia

Baada ya kuishiwa pointi ya kuchangia wakati wenzake wakizungumzia mpira wa miguu na jinsi nchi za Afrika zinavyoboroka katika mashindano ya kimataifa, mwakilishi wa Tanzania, Idris aliamua kutibua maongezi hayo kwa kusema Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia.

 

11 years ago

GPL

TIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Timu ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania ambayo imetwaa Kombe la Dunia. Watoto hao ambao ni mabingwa wakishangilia na kiongozi wao, Mutani Yangwe .…

 

11 years ago

Michuzi

Mwigizaji JB atia fora katika uzinduzi wa ripoti ya benki ya dunia kuhusu ajira zenye tija tanzania

 Mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB "akitema yai"  wakati akitoa mada yake kwenye  wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro Rais Kikwete akimpongeza mwigizaji nyota wa filamu nchini Steven Jacob a.k.a JB kwa kutoa mada yake vyema wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia Kuhusu ajiora Zenye Tija Tanzania leo Septemba 12, 2014 katika hoteli ya Hyatt regency kilimanjaro

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI KOMBE LA SHIRIKISHO LEO

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa michuano ya Kombe la Shirikisho (AzamHD Federation Cup) utakaofanyika leo Jumatatu, saa 9 kamili mchana katika uwanja wa Karume ambapo timu ya Abajalo FC itacheza dhidi ya Transit Camp zote za jijini Dar es salaam.Michuano hiyo ilianza kutimua vumbi jana kwa mchezo mmoja kuchezwa katika uwanja wa Karume uliopo mjini Musoma, ambapo Vill Squad ya jijini Dar es salaam iliweza...

 

9 years ago

StarTV

Serikali, UNHCR kuendelea kuwahifadhi Wakimbizi Waliopo Tanzania

Serikali ya Tanzania imesema itashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR kuhakikisha inalinda na kuwahifadhi wakimbizi waliopo hapa nchini hadi watakapokuwa tayari kurejea kwa hiari katika nchi zao.

 Katika ziara ya kiserikali mkoani Kigoma, Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ametembelea baadhi ya kambi zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya watu wa Kongo akisema Serikali inatambua maridhiano ya umoja wa mataifa  katika kuwahifadhi...

 

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Bonaza Kombe la Masauni Viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe Hamad Masauni akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kikwajuni Bondeni iliolazimika kuchukua kipigo cha mabao 2--1 katika mchezo wa ufunguzi wa Bonaza hilo linalofanyika usiku katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar.Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, Mhe Hamad Masauni akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Kisimamajongoo iliotoa kipigo cha mabao 2--1 katika mchezo wa ufunguzi wa Bonanza hilo linalofanyika usiku katika viwanja vya Mnazi mmoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani