Tanzania watwaa Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Tanzania kwa watoto wa mitaani imenyakua Kombe la Dunia kwa kuichapa Burundi 3-1
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Barcelona watwaa Kombe la Dunia Japan
YOKOHAMA, JAPAN
KLABU ya Barcelona imeibuka mabingwa katika michuano ya klabu ya dunia iliyokuwa ikiendelea nchini Japan baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0, kwenye Uwanja wa Nissan Stadium.
Katika mchezo huo, mshambuliaji hatari wa Barcelona, Luis Suarez, alikuwa mwiba kwa mabeki wa River Plate, ambapo alipachika mabao mawili huku Lionel Messi akiwa wa kwanza kupachika bao.
Hata hivyo, katika mchezo wa nusu fainali, Suarez alionesha umahiri wake kwa kupachika mabao matatu...
10 years ago
GPLBARCELONA WATWAA KOMBE LA LIGI YA MABINGWA ULAYA
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
VPO wafanya bonanza la kumuaga Makamu wa Rais Mstaafu, watwaa kombe
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya VPO Sports Club, Nehemia Mandia, baada ya kuibuka na ushindi katika Bonanza maalum la kumuaga Dkt. Bilal, lililofanyika Nov 28, 2015 kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete uliopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. VPO waliibuka kidedea baada ya kuwafunga timu ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa mikwaju ya penati 5-4.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Idris adai Tanzania imewahi kucheza Kombe la Dunia
11 years ago
MichuziWABRAZILI WALIOPO TANZANIA WASHEREKEA UZINDUZI WA KOMBE LA DUNIA
11 years ago
GPLTIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YATWAA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Historia ya kombe la dunia
11 years ago
Michuzikombe la dunia brazil?
11 years ago
GPL