Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waafrika vijana watakaong’ara Kombe la Dunia 2014

Katika Fainali za Kombe la Dunia 2014, bara la Afrika litawakilishwa na nchi tano ambazo ni Nigeria, Ghana, Cameroon, Algeria na Ivory Coast.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Waafrika watano kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia 2014

Waamuzi wamechaguliwa kutokana na uwezo wao wa kuchezesha mechi, kuusoma na kuelewa mbinu za timu.

 

11 years ago

Mwananchi

Pitbull ang’ara uzinduzi Kombe la Dunia 2014

Kama uliangalia ufunguzi wa Kombe la Dunia ulipata bahati ya kumwona mwanamuziki Armando Christian Pérez mwenye umri wa miaka 33 ambaye jina lake la jukwaani anaitwa Pitbull, rapa mahiri kutoka nchini Marekani.

 

9 years ago

Bongo5

Nigeria mabingwa wa dunia kombe la vijana

Nigeria 3

Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana.

2731461_full-lnd

Nigeria iliwafunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 ambapo goli la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Victor Osimhen na Funsho Ibrahim Bamgboye akiongeza bao la pili na la ushindi.

2731456_big-lnd

Kikosi cha cha vijana cha Nigeria kimeweza kutetea ubingwa wake baada ya kutwaa taji hilo la dunia la vijana mwaka 2013 walipoishinda Meixco kwa mabao 3-0.

Nigeria 3

Mshambuliajia Victor Osimhen...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

BBCSwahili

Miji ya Kombe la dunia 2014

Brasilia mji mkuu wa Brazil ni moja ya miji ambako mechi za kombe la dunia zitafanyika. Vinjari mji huu:

 

11 years ago

Mwananchi

Takwimu muhimu za vikosi Kombe la Dunia 2014

Fainali za Kombe la Dunia zinaanza leo huku wachezaji 736 wakishiriki, wakiwamo 28 ambao watakuwa wakicheza kwa mara ya kwanza kwenye michuano hiyo mikubwa katika soka duniani.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Dhambi za Kombe la Dunia zisizosahaulika

Katika maisha ya sasa uliyowahi kuyaona, kuna watu wema na wabaya. Vituko katika fainali za Kombe la Dunia haviepukiki.

 

11 years ago

GPL

KIKOSI CHA UHOLANZI KOMBE LA DUNIA 2014

Goalkeepers: Jasper Cillessen (Ajax), Tim Krul (Newcastle), Michel Vorm (Swansea), Jeroen Zoet (PSV Eindhoven).
Defenders: Daley Blind, Joel Veltman (both Ajax), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi, Tonny Vilhena (all Feyenoord), Karim Rekik (PSV Eindhoven - on loan from Manchester City), Patrick van Aanholt (Vitesse Arnhem), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa). Midfielders: Jordy...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani