FAINALI YA KOMBE LA NG'OMBE ARUSHA NI ZAMZAM V/S NYOTA
Mfadhili wa michuano ya kombe la Ng'ombe ambaye pia mkurugenzi wa kampuni ya East Link Tanzania Ltd,Kim Fute wapili kutoka kushoto akibadilishana mawazo na baadhi ya vijana waliofika kushuhudia michuano hiyo ,michuano hiyo itahitimishwa mapema siku ya jumapili wiki hiii katika uwanja wa shule ya msingi Sinoni ambapo Timu ya Zamzam na Nyota watachuana.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).Taswira ya muonekano wa mlima Meru unavyoonekana pichani,hii ilikuwa juzi katika uwanja wa shule...
Michuzi