Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugonjwa mpya waibuka Mtwara

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk. Seif Rashid.
Ugonjwa uliodhaniwa kuwa ni surua, ulioibuka katika shule ya Msingi Mkoma1, Kata ya Mnikachi wilaya ya Newala, Mtwara, imebainika siyo surua baada ya sampuli zilizochunguzwa kuonesha kuwa ugonjwa huo ni rubella.

Dalili za ugonjwa huo zinazodaiwa kuwa sawa na ugonjwa wa surua zimeelezwa kuwa ni pamoja na kuwashwa macho, homa, kuharisha, ngozi kuwasha, vipele, kubabuka midomo, mafua, kuumwa tumbo, ngozi kukakamaa pamoja na kupoteza hamu ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa wa Polio waibuka Pakistan

Visa 10 vya maradhi ya polio vimethibitishwa nchini Pakistan na kuzua hofu ugonjwa utaenea

 

10 years ago

Vijimambo

UGONJWA MWINGINE WAIBUKA NCHI JIRANI YA UGANDA

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya kusafiri nchini Uganda baada ya kuthibitishwa kuwa daktari mmoja amefariki kutokana na ugonjwa hatari wa Marburg unaosambazwa na popo.Kwa sasa Shirika hilo kwa ushirikiano na mamlaka za afya za Uganda wamemzuilia ndugu mmoja wa marehemu kwa hofu kuwa huenda naye aliambukizwa. Watu wengine zaidi ya 80, wakiwemo matabibu 38 waliokutana na mwenzao huyo siku kumi kabla ya kifo chake nao pia wanachunguzwa.
Kwa mujibu wa WHO na mamlaka za afya za...

 

10 years ago

Michuzi

MZOGA WA NYANGUMI WAIBUKA PWANI YA MTWARA LEO

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo



 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujambazi mpya waibuka Arusha

JIJI la Arusha limekumbwa na taharuki baada ya kuibuka kwa matukio ya wanawake wanaoendesha magari kuvamiwa na kupigwa risasi na watu wasiofahamika ambao hutoweka bila kuchukua chochote. Hadi sasa, wanawake...

 

9 years ago

Michuzi

WAGONJWA 100 WA UGONJWA WA MABUSHA WANAFANYIWA UPASUAJI MANISPAA YA MTWARA

 Mratibu wa Taifa wa Mpango wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele Dkt. Upendo Mwingira, akielezea majukumu ya mpango huo wakati wa uzinduzi wa kambi ya kuwafanyia upasuaji watu wenye tatizo la ugonjwa wa mabusha Manispaa na Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara,iliyofanyika katika hospitali  ya Mkoa ya Ligula. Kaimu Mkuu wa Wilaya akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kambi ya kuwafanyia upasuaji watu wenye ugonjwa wa mabusha. Dkt. Upendo Mwingira akiwafariji wagonjwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka mauaji ya askari Kinapa

Imedaiwa kuwa askari wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) alifariki dunia baada ya risasi zaidi ya 20 kutoka katika bunduki ya SMG kufyatuka mfululizo na kumpata.

 

10 years ago

Mtanzania

Mgogoro mpya wamiliki mabasi, madereva waibuka

mabasiNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MGOGORO mpya umeibuka kati ya wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani baada ya wamiliki kutishia kuwafukuza kazi madereva wao walioshiriki mgomo.
Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya madereva walioshiriki katika mgomo huo wa siku mbili kufukuzwa kazi na baadhi ya wamiliki wa mabasi hayo.
Kutokana na hatua hiyo, Mhasibu Mkuu wa Umoja wa Madereva Tanzania (UWAMATA) Issa Regan, aliwataka matajiri waliowafukuza madereva wao kuwarudisha kazini mara...

 

10 years ago

Mwananchi

Utata mpya waibuka kashfa ya ‘Miss Tanzania’ 2014

Hatima ya kashfa ya kudanganya umri inayomkabili aliyekuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2014, Sitti Mtemvu bado ipo kizani baada ya polisi kuikana kauli ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani