Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGONJWA MWINGINE WAIBUKA NCHI JIRANI YA UGANDA

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari ya kusafiri nchini Uganda baada ya kuthibitishwa kuwa daktari mmoja amefariki kutokana na ugonjwa hatari wa Marburg unaosambazwa na popo.Kwa sasa Shirika hilo kwa ushirikiano na mamlaka za afya za Uganda wamemzuilia ndugu mmoja wa marehemu kwa hofu kuwa huenda naye aliambukizwa. Watu wengine zaidi ya 80, wakiwemo matabibu 38 waliokutana na mwenzao huyo siku kumi kabla ya kifo chake nao pia wanachunguzwa.
Kwa mujibu wa WHO na mamlaka za afya za...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ufisadi mwingine waibuka bandarin

MAKONTENA mengine 11,884 na magari 2,019, yamebainika kuwa yametoroshwa katika bandari kavu (ICD) saba jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru wa bandari, hivyo kuipotezea Serikali mapato ya Sh bilioni 48.55.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugonjwa wa Polio waibuka Pakistan

Visa 10 vya maradhi ya polio vimethibitishwa nchini Pakistan na kuzua hofu ugonjwa utaenea

 

10 years ago

Vijimambo

Ugonjwa mpya waibuka Mtwara

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk. Seif Rashid.
Ugonjwa uliodhaniwa kuwa ni surua, ulioibuka katika shule ya Msingi Mkoma1, Kata ya Mnikachi wilaya ya Newala, Mtwara, imebainika siyo surua baada ya sampuli zilizochunguzwa kuonesha kuwa ugonjwa huo ni rubella.

Dalili za ugonjwa huo zinazodaiwa kuwa sawa na ugonjwa wa surua zimeelezwa kuwa ni pamoja na kuwashwa macho, homa, kuharisha, ngozi kuwasha, vipele, kubabuka midomo, mafua, kuumwa tumbo, ngozi kukakamaa pamoja na kupoteza hamu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lashambulia nchi Jirani

Kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria limeshambulia mji mmoja nchini Niger

 

10 years ago

Habarileo

Maziwa kutoka nchi jirani yalalamikiwa

CHAMA cha Wafugaji wa Ng’ombe wa Maziwa (TDCU) kinakusudia kumwandikia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kupinga uingizwaji holela wa maziwa yaliyosindikwa kutoka nchi jirani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Wanafunzi walipelekwa nchi jirani

Baadhi ya wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram, wanaaminika kupelekwa katika nchi jirani za Cameroon na Chad na kuolewa na wapiganaji.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Nitaboresha uhusiano wa kibiashara na nchi jirani

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema serikali yake itashirikiana na nchi jirani ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya mipakani wanapata fursa za kibiashara katika nchi hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TPA yahamasisha nchi jirani kutumia Bandari Dar

MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA) imezihamasisha nchi jirani kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam kwani sasa huduma zake zinaimarika kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea kufanywa. Kaimu Meneja Mawasiliano wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya Tehama shuleni; Tujifunze kutoka nchi jirani

Moja ya nchi zinazotajwa kupiga hatua kwenye matumizi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) shuleni katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, ni Rwanda ambapo inakadiriwa kuwa nusu ya wanafunzi wanatumia kompyuta mpakato wakiwa shuleni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani