Ufisadi mwingine waibuka bandarin
MAKONTENA mengine 11,884 na magari 2,019, yamebainika kuwa yametoroshwa katika bandari kavu (ICD) saba jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru wa bandari, hivyo kuipotezea Serikali mapato ya Sh bilioni 48.55.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Ufisadi wa Sh1.4 bil waibuka TFF
10 years ago
VijimamboUGONJWA MWINGINE WAIBUKA NCHI JIRANI YA UGANDA
Kwa mujibu wa WHO na mamlaka za afya za...
10 years ago
BBCSwahili23 Dec
Ufisadi: mwingine asimamishwa Tanzania
10 years ago
Mwananchi30 Jan
PAC yaibua ufisadi mwingine
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Ufisadi mwingine waibuliwa bandarini Dar
10 years ago
VijimamboTUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...
10 years ago
Habarileo12 Mar
‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
Aidha, imebainika pia kuwa ya...
11 years ago
GPLGLOBAL FC WAIBUKA KIDEDEA