Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufisadi: mwingine asimamishwa Tanzania

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi Eliakim Maswi, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

PAC yaibua ufisadi mwingine

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeanika madudu na kashfa za kutisha katika ripoti maalumu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikiwa ni pamoja na zaidi ya Sh100 bilioni kukwepwa kulipwa na kampuni mbalimbali kwa kivuli cha misamaha ya kodi.

 

9 years ago

Habarileo

Ufisadi mwingine waibuka bandarin

MAKONTENA mengine 11,884 na magari 2,019, yamebainika kuwa yametoroshwa katika bandari kavu (ICD) saba jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru wa bandari, hivyo kuipotezea Serikali mapato ya Sh bilioni 48.55.

 

9 years ago

Mwananchi

Ufisadi mwingine waibuliwa bandarini Dar

Serikali imepoteza jumla ya Sh48.47bilioni baada ya makontena 11,884 na magari 2,019 kupitishwa badarini Dar es Salaam bila kulipiwa kodi.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’

Zitto Kabwe.KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania yachunguza ufisadi mkopo wa Stanbic

Serikali ya Tanzania imesema imeanza uchunguzi wa ufisadi wa Dola milioni 6 uliohusu mkataba wa mkopo kutoka kwa benki ya Stanbic.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yapunjwa fidia ya ufisadi Stanbic

Mapya yamezidi kuibuka katika sakata la ufisadi kwenye mkopo wa Sh1.3 trilioni kutoka Benki ya Standard baada ya asasi ya kiraia nchini Uingereza kubainisha kuwa Serikali imepunjwa fidia katika uamuzi wa kesi hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh1.3 trilioni

Aliyekuwa ofisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania, Shose Sinare amehusishwa na mipango ya kifisadi ambayo imeisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh1.3 trilioni kati ya mwaka 2012 na 2013.

 

9 years ago

MillardAyo

Serikali ya Tanzania imefanya maamuzi ya kumsimamisha mwingine leo December 23

December 23 2015 imenifikia taarifa ya maamuzi yaliyoamriwa na Serikali ya Tanzania ambapo Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi ya mwendokasi DART, Bi. Asteria Mlambo amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Tuhuma zilizotajwa kusababisha kusimamishwa kwa Mkurugenzi huyo ni ishu ya kukiukwa kwa kanuni za kumtafuta mtoa huduma wa mpito wa huduma za mabasi ya mwendokasi. […]

The post Serikali ya Tanzania imefanya maamuzi ya kumsimamisha mwingine leo December 23 appeared first...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani