Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ufisadi mwingine waibuliwa bandarini Dar

Serikali imepoteza jumla ya Sh48.47bilioni baada ya makontena 11,884 na magari 2,019 kupitishwa badarini Dar es Salaam bila kulipiwa kodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ufisadi wa kutisha waibuliwa

Machungu ya Watanzania yakiwa hayajapoa kutokana na kashfa ya Sh306 bilioni kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, ufisadi mwingine wa zaidi ya Sh252 bilioni umeibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ndani ya wizara ya ujenzi.

 

9 years ago

Habarileo

Ufisadi mwingine waibuka bandarin

MAKONTENA mengine 11,884 na magari 2,019, yamebainika kuwa yametoroshwa katika bandari kavu (ICD) saba jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru wa bandari, hivyo kuipotezea Serikali mapato ya Sh bilioni 48.55.

 

10 years ago

Mwananchi

PAC yaibua ufisadi mwingine

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeanika madudu na kashfa za kutisha katika ripoti maalumu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikiwa ni pamoja na zaidi ya Sh100 bilioni kukwepwa kulipwa na kampuni mbalimbali kwa kivuli cha misamaha ya kodi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufisadi: mwingine asimamishwa Tanzania

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi Eliakim Maswi, Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ufisadi mwingine wa mil 700/- wanukia Nishati’

Zitto Kabwe.KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka.

 

9 years ago

Mwananchi

Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar

Wizara ya Maliasili na Utalii imekamata makontena 31 yaliyokuwa na magogo ya mninga katika Bandari ya Dar es Salaam yenye thamani ya zaidi ya Sh300 milioni ambayo yalikuwa yanasafirishwa kwenda China.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI WA FEDHA,ATINGA BANDARINI DAR GHAFLA

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, ametinga ghafla bandarini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya wafanyabiashara kuanzisha tafrani ya kudai kucheleweshewa huduma. Waziri Mkuya alipofika bandarini hapo alikwenda hadi Mapato Hause baada ya  mawakala kuona kuwa wanacheleweshewa kupata huduma muhimu ambapo waliamua kulalamika kwake. Alipofika Mapato Hause, Waziri Mkuya alilalamikiwa kuwa mtandao mpya...

 

10 years ago

Michuzi

ujumbe wa Benki ya Dunia wafanya ziara Bandarini jijini Dar

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Bw. Awadh Massawe kulia akitoa maelezo ya maboresho yanayoendelea kufanyika katika Bandari ya Dar es Salaa kwa ujumbe wa Benki ya Dunia, ambao ulifanya ziara ya kujionea miradi ya maboresho inayoendelea kufanyika katika Bandari hiyo ambayo miongoni mwa miradi hiyo inafadhiliwa na benki hiyo ili kusaidia kuleta ufanisi wa utendaji kazi, wa pili kutoka kushoto nia Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika,Bw. Makhtar Diop,...

 

9 years ago

MillardAyo

Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar

Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno ‘jipu’ au ‘majipu’ kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya upotevu wa makontena zaidi ya 2,000 bandarini ambayo yalitoroshwa bila kulipia ushuru, Serikali ikaamua baadhi ya watumishi wakamatwe na kesi zao zinaendelea Mahakamani… kingine kilichoripotiwa […]

The post Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani