Serikali ya Tanzania imefanya maamuzi ya kumsimamisha mwingine leo December 23
December 23 2015 imenifikia taarifa ya maamuzi yaliyoamriwa na Serikali ya Tanzania ambapo Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi ya mwendokasi DART, Bi. Asteria Mlambo amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Tuhuma zilizotajwa kusababisha kusimamishwa kwa Mkurugenzi huyo ni ishu ya kukiukwa kwa kanuni za kumtafuta mtoa huduma wa mpito wa huduma za mabasi ya mwendokasi. […]
The post Serikali ya Tanzania imefanya maamuzi ya kumsimamisha mwingine leo December 23 appeared first...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima …
Baada ya stori za muda mrefu kuhusu kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Yanga Haruna Niyonzima, uongozi wa klabu hiyo December 28 umetangaza maamuzi mapya baada ya awali kutangaza kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Yanga wamefikia maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo huyo, baada ya kukaa na kufikiria kwa […]
The post Baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana, Dec 28 Yanga yatangaza maamuzi magumu kwa Niyonzima … appeared first on...
11 years ago
Michuzi19 Mar
TANZANIA IMEFANYA VIZURI UTEKELEZAJI WA MDGs-WAZIRI SIMBA
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video)
Kama unakumbuka kulikuwa na mashindano ya Pop Stars miaka kadhaa iliyopita, majina matatu yakaibuka na ushindi alafu likaundwa kundi la ‘Wakilisha‘… hapo alikuwepo Witnesz, Shaa na marehemu Langa. Wakilisha haijasikika kwenye ngoma ya pamoja lakini Shaa na Witnesz bado wako kwenye game… imenifikia ngoma mpya ya Witnesz ambapo amejipa na a.k.a ya ‘kibonge mwepec‘… wimbo unaitwa ‘Buku […]
The post Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video) appeared first on...
10 years ago
Vijimambo29 Sep
BUNGE MAALUM LA KATIBA:Maamuzi magumu leo
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Samuel-Sita-September29-2014.jpg)
Hatua ya upigaji kura itakayohitimishwa Alhamisi wiki hii na Ijumaa kutunga sheria ya kipindi cha mpito kabla ya katiba kuanza kutumika, inafikiwa baada ya Bunge hilo kutumia zaidi ya...
11 years ago
Habarileo10 Dec
Ombi la Shekhe Ponda kutolewa maamuzi leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo itatoa uamuzi wa kusikiliza au kukataa ombi la Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shekhe Issa Ponda.
10 years ago
Habarileo23 Dec
Kesi ya IPTL, PAP kupinga maamuzi ya Bunge leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imepanga leo kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na kampuni nyingine mbili, kupinga utelekezaji wa maazimio ya Bunge kuhusu sakata la akaunti ya Tegeta Escrow.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N4p-Xcrm6CuFdt1pqdePYWWrZcGvqpGO27bn2*Uwev1h4a3cjtZB4tnc6Kd0jC6Uz*IqR5xnFYYq4ikWzVMcfO9/EPLLogo1.jpg?width=650)
MECHI ZA EPL LEO DECEMBER 28, 2013
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/nEpzgb2sEvo/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI LEO DECEMBER 20, 2015
STAR TV: Umafia TRA, Kachero wa serikali achinjwa, Magufuli tishio, Madiwani ukawa wakamatwa. Fuatilia uchambuzi wa magazeti ya leo.https://youtu.be/X4O1T-YsNQY
CH10: Polisi yachafuliwa, Majaliwa atoa maagizo mazito, kachero wa serikali achinjwa, umafia TRA. Fuatilia dondoo za magazeti ya leo.https://youtu.be/0yzkFYAiHFM
AZAM TV: Yanga yaua, Simba yabwanwa mbavu, Chelesea yajikwamua, Man united yapigwa, Leicester city yapaa, fuatilia habari motomoto kutoka uchambuzi wa magazeti ya...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17
Taarifa ikufikie kwamba awamu nyingine ya bomoabomoa tayari imeendelea Dar es Salaam na kuna maeneo tayari imepita kukamilisha zoezi hilo. Kuna watu wamejenga maeneo ya wazi, wako waliojenga kwenye maeneo hatarishi au maeneo yasiyoruhusiwa, agizo likatoka Serikalini kwamba wahame mapema kabla ya Serikali haijaingilia kati. Wapo waliohama na wapo waliobaki kwenye maeneo hayo, bomoabomoa imepita na […]
The post Picha 10 nilivyoikuta bomoabomoa Kinondoni leo December 17 appeared first on...