Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video)

Kama unakumbuka kulikuwa na mashindano ya Pop Stars miaka kadhaa iliyopita, majina matatu yakaibuka na ushindi alafu likaundwa kundi la ‘Wakilisha‘… hapo alikuwepo Witnesz, Shaa na marehemu Langa. Wakilisha haijasikika kwenye ngoma ya pamoja lakini Shaa na Witnesz bado wako kwenye game… imenifikia ngoma mpya ya Witnesz ambapo amejipa na a.k.a ya ‘kibonge mwepec‘… wimbo unaitwa ‘Buku […]

The post Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video) appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Witnesz kibonge Mwepesi – Buku Jero

Screen-Shot-2015-12-26-at-3.53.58-PM

Video mpya ya rapper ambaye zamani alikuwa anaunda kundi la ‘Wakilisha”, Witnesz wimbo unaitwa “Buku Jero”, Video imeongozwa na

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Music: Witnesz Kibonge Mwepesi — Buku Jero

Wimbo mpya wa Witnesz A.K.A Kibonge Mwepesi unaitwa “Buku Jero” Studio Seductive Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

WITNESZ KIBONGE MWEPEC AJA NA BUKU JERO...

Dowload accapella ya buku jero ndani ya mkito.com na audio link hapa

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria time hii amekuja na hii nyingine…(+Audio)

Ni time ya ku enjoy single mpya iitwayo Maria kutoka kwa mkali mwenye hit single ya ‘Duro’ Tekno akiwa amemshirikisha Selebobo. Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza single hiyo mpya Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote […]

The post Baada ya hit ya ‘Duro’, mkali wa Nigeria time hii amekuja na hii nyingine…(+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu

Profesa Jay, msanii wa hiphop Tanzania aliyechukua ushindi baada ya kupigiwa kura na Wananchi wa jimbo la Mikumi Morogoro ili awe Mbunge wao kwa miaka mitano kuanzia 2015-2020, kama hujawahi kabisa kumuona akiongea na Wananchi… bonyeza play kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Huu ni uthibitisho mwingine kuhusu ujio wa album ya pamoja ya Jay Z na Beyonce

Jay-Z, Beyonce

Kwa takribani mwaka sasa kumekuwepo na tetesi kuwa Jay Z na Beyonce wanaandaa album ya pamoja ambayo ilisemekana ingetoka mwaka huu 2015.

Jay-Z, Beyonce

Lakini hadi sasa ikiwa zimebaki siku mbili kumalizika mwaka hakuna dalili zozote za kupata album hiyo, japo kuna uthibitisho mwingine kuwa ni kweli album ya wanandoa hao iko jikoni.

Uthibitisho huo umetolewa na mwandishi wa nyimbo aitwaye Glass John, ambaye amedai kuwa yeye ni mmoja wa watu waliopewa kazi na Beyonce na mumewe kuandaa project hiyo.

“I am...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani