Huu ni uthibitisho mwingine kuhusu ujio wa album ya pamoja ya Jay Z na Beyonce
Kwa takribani mwaka sasa kumekuwepo na tetesi kuwa Jay Z na Beyonce wanaandaa album ya pamoja ambayo ilisemekana ingetoka mwaka huu 2015.
Lakini hadi sasa ikiwa zimebaki siku mbili kumalizika mwaka hakuna dalili zozote za kupata album hiyo, japo kuna uthibitisho mwingine kuwa ni kweli album ya wanandoa hao iko jikoni.
Uthibitisho huo umetolewa na mwandishi wa nyimbo aitwaye Glass John, ambaye amedai kuwa yeye ni mmoja wa watu waliopewa kazi na Beyonce na mumewe kuandaa project hiyo.
“I am...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo517 Sep
Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja
10 years ago
Bongo506 Dec
Beyonce na Jay Z kununua mjengo huu, una thamani ya shilingi bilioni 145 (Picha)
10 years ago
Bongo507 Oct
Picha: Huu ndio mjengo mpya watakaohamia Jay Z na Beyonce wenye thamani ya $40m uliopo Los Angeles
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Uthibitisho wa ajali ya msaidizi wa IGP Mangu pamoja na familia yake.. (+Audio) #RIP
Huenda bado haijakufikia taarifa kuhusu ajali ya Askari mmoja ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu, kilichonifikia ni taarifa kuhusu mazingira ya tukio la ajali hiyo. Hii ni nukuu ya sentensi ya Kamanda wa Polisi Dodoma >>> ‘Tulimpata mke wa mkaguzi wa Polisi, Gerard Rioba ambaye ni msaidizi wa IGP, […]
The post Uthibitisho wa ajali ya msaidizi wa IGP Mangu pamoja na familia yake.. (+Audio) #RIP appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo11 May
KAUSINGIZI KA BEYONCE NA JAY-Z


11 years ago
GPL
BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE