BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
Kanye West na Kim Kardashian wakifunga ndoa. Eneo walilofungia ndoa mastaa hao. Mastaa walioingia mitini Jay Z…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Sep
Picha: Beyonce na Jay Z mapenzi tele licha ya tetesi kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe tena
Tetesi kuwa Beyonce na Jay Z huenda wakawa katika hatua ya mwisho kuachana, hazioneshi kuwa na maana yoyote baada ya kuona picha hizi. Ni wazi kuwa Bey na Jay bado wanapenda na sana. Mastaa hao wanaonekana kuwa bado wapo kwenye mapenzi tele katika picha zinazowaonesha wakitupiana mabusu tele kwenye mapumziko na familia. Mtoto wa Blue […]
11 years ago
Bongo507 Aug
Video: Akon adai ndoa ya Jay Z na Beyonce ni ya biashara, The Carters wakaa kwenye hoteli ya tshs mil.50 kwa usiku 1
Wakati ambapo tetesi za kukaribia kuvunjika kwa ndoa ya Jay Z na Beyonce zikiendelea kushika kasi, msanii mwenzao, Akon amezungumza anachokiona kuhusiana na uhusiano wa mastaa hao. “Uhusiano wao umekuwa wa kibiashara katika ulimwengu wa nje kuliko uhusiano wa kawaida,” Akon alimwambia mwandishi wa TMZ aliyemuuliza anauonaje uhusiano wa Jay na Bey. “Ukiwa mtu unayejulikana […]
10 years ago
Vijimambo11 May
KAUSINGIZI KA BEYONCE NA JAY-Z
Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.Ni hivi karibuni Jay Z ametajwa na jarida la Forbes kushika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na zaidi ya dola milioni 500 kwa mastaa wa Hiphop wenye utajiri mkubwa zaidi. Sasa stori iliyochukua headlines ni wawili hao ni kuamua kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 4 iliyopo New Orleans Garden, Marekani.Jengo hilo kabla ya kukarabatiwa...
10 years ago
Bongo517 Sep
Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja
Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja. “Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema. “You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked […]
10 years ago
GPLBEYONCE, JAY Z MAHABA KAMA WAMEANZA JANA!
Rapa Jay Z na mkewe Beyonce wakijiachia kwenye viunga vya jiji la Florence nchini Italia.
Florence, Italia
PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Ndivyo ambavyo wanaonyesha wapenzi wawili maarufu duniani, rapa Jay Z na mwimbaji Beyonce ambao hivi sasa wapo nchini Italia wakila raha na unaambiwa wamekuwa wakigandana na kuonyeshana mahaba hadharani utadhani walianza mapenzi yao jana kwa jinsi walivyoshibana. Jay Z, 45, na Beyonce,...
10 years ago
GPLKISA RIHANNA, BEYONCE NA JAY Z WAINGIA KATIKA MGOGORO
Beyonce na Jay Z katika pozi. MWANAMUZIKI Beyoncé Giselle Knowles 'Beyonce' na mumewe Shawn Corey Carter 'Jay Z' wameripotiwa kuwa kwenye mgogoro tena huku mwanamuziki Rihanna akihusishwa. Wanandoa hao wapo kwenye mgogoro kutokana na simu ya siri ambayo Jay Z anadaiwa kuitumia kuwasiliana na Rihanna pasipo Beyonce kujua. Wanaume wengi wana simu za siri ambazo hutumia kuwasiliana na watu wao kwa siri, ila mara nyingi wanakuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania