Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BEYONCE, JAY Z MAHABA KAMA WAMEANZA JANA!

Rapa Jay Z na mkewe Beyonce wakijiachia kwenye viunga vya jiji la Florence nchini Italia.
Florence, Italia
PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Ndivyo ambavyo wanaonyesha wapenzi wawili maarufu duniani, rapa Jay Z na mwimbaji Beyonce ambao hivi sasa wapo nchini Italia wakila raha na unaambiwa wamekuwa wakigandana na kuonyeshana mahaba hadharani utadhani walianza mapenzi yao jana kwa jinsi walivyoshibana. Jay Z, 45, na Beyonce,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce waoneshana mahaba kwa ku-kiss jukwaani kwenye tamasha la Tidal X: 1020

Jay Z na Beyonce ni miongoni mwa mastaa walioshambulia jukwaa kwenye tamasha ya Tidal X: 1020 lililofanyika Jumanne Oct 20 jijini New York. Beyonce na mumewe Jay Z hawakusita kuudhihirishia ulimwengu kuwa mapenzi yao bado yana nguvu kwa kushare ‘kiss’ wakiwa jukwaani. Wengine waliotumbuiza kwenye tamasha hilo ni Nicki Minaj, Usher na Lil Wayne, Meek […]

 

10 years ago

Bongo5

Taylor Swift na Calvin Harris wawapiku Beyonce na Jay Z kama ‘couple maarufu’ iliyoingiza fedha nyingi 2015

Taylor Swift na Calvin Harris wametajwa na Forbes kuwa couple maarufu iliyoingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2015 na kuwaondoa Beyonce na Jay Z kwenye nafasi hiyo. Swift na Harris wameingiza kwa pamoja dola milioni 146 mwaka jana ukilinganisha na Bey na Jay waliokamatana nafasi ya pili kwa kuingiza dola milioni 110.5. Album ya Swift 1989 […]

 

10 years ago

Vijimambo

KAUSINGIZI KA BEYONCE NA JAY-Z

bey4Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.Ni hivi karibuni Jay Z ametajwa na jarida la Forbes kushika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na zaidi ya dola milioni 500 kwa mastaa wa Hiphop wenye utajiri mkubwa zaidi. beySasa stori iliyochukua headlines ni wawili hao ni kuamua kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 4 iliyopo New Orleans Garden, Marekani.Jengo hilo kabla ya kukarabatiwa...

 

10 years ago

Bongo5

Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja

Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja. “Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema. “You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked […]

 

11 years ago

GPL

BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE

Kanye West na Kim Kardashian wakifunga ndoa. Eneo walilofungia ndoa mastaa hao. Mastaa walioingia mitini Jay Z…

 

10 years ago

GPL

KISA RIHANNA, BEYONCE NA JAY Z WAINGIA KATIKA MGOGORO

Beyonce na Jay Z katika pozi. MWANAMUZIKI Beyoncé Giselle Knowles 'Beyonce' na mumewe Shawn Corey Carter 'Jay Z' wameripotiwa kuwa kwenye mgogoro tena huku mwanamuziki Rihanna akihusishwa. Wanandoa hao wapo kwenye mgogoro kutokana na simu ya siri ambayo Jay Z anadaiwa kuitumia kuwasiliana na Rihanna pasipo Beyonce kujua. Wanaume wengi wana simu za siri ambazo hutumia kuwasiliana na watu wao kwa siri, ila mara nyingi wanakuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani