KAUSINGIZI KA BEYONCE NA JAY-Z
Kuna wakati Beyonce na mumewe Jay Z waliamua kuishi hotelini kwa muda wakidai hawajaona nyumba ya kununua kwa ajili ya wao kuweza kuishi.Ni hivi karibuni Jay Z ametajwa na jarida la Forbes kushika nafasi ya tatu kwa utajiri akiwa na zaidi ya dola milioni 500 kwa mastaa wa Hiphop wenye utajiri mkubwa zaidi.
Sasa stori iliyochukua headlines ni wawili hao ni kuamua kununua nyumba ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 4 iliyopo New Orleans Garden, Marekani.Jengo hilo kabla ya kukarabatiwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
11 years ago
Bongo517 Sep
Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja
10 years ago
GPL
BEYONCE, JAY Z MAHABA KAMA WAMEANZA JANA!
10 years ago
GPL
KISA RIHANNA, BEYONCE NA JAY Z WAINGIA KATIKA MGOGORO
10 years ago
GPL
BEYONCE, JAY Z WAFUNIKA KATIKA TAMASHA LA TIDAL X 1020, MAREKANI