Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Music: Witnesz Kibonge Mwepesi — Buku Jero

Wimbo mpya wa Witnesz A.K.A Kibonge Mwepesi unaitwa “Buku Jero” Studio Seductive Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Witnesz kibonge Mwepesi – Buku Jero

Screen-Shot-2015-12-26-at-3.53.58-PM

Video mpya ya rapper ambaye zamani alikuwa anaunda kundi la ‘Wakilisha”, Witnesz wimbo unaitwa “Buku Jero”, Video imeongozwa na

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

WITNESZ KIBONGE MWEPEC AJA NA BUKU JERO...

Dowload accapella ya buku jero ndani ya mkito.com na audio link hapa

 

9 years ago

MillardAyo

Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video)

Kama unakumbuka kulikuwa na mashindano ya Pop Stars miaka kadhaa iliyopita, majina matatu yakaibuka na ushindi alafu likaundwa kundi la ‘Wakilisha‘… hapo alikuwepo Witnesz, Shaa na marehemu Langa. Wakilisha haijasikika kwenye ngoma ya pamoja lakini Shaa na Witnesz bado wako kwenye game… imenifikia ngoma mpya ya Witnesz ambapo amejipa na a.k.a ya ‘kibonge mwepec‘… wimbo unaitwa ‘Buku […]

The post Witnesz amekuja na ujio mwingine December hii, kitu ni ‘Buku Jero’ (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: WE NI MJASIRIAMALI, UNATAKA KUFUNGUA SHULE, UTARATIBU MWEPESI NI HUU.

Wapo Watanzania ambao ndoto zao ni kumiliki shule. Ninapoongelea shule simaanishi lazima  yawe yale mashule makubwa. Hata shule za awali ambazo zinaanzishwa na wajasiriamali wadogo mitaani nazo ni shule kwa  maana hii katika makala haya.

Nyaraka kuu inayoongoza  taratibu za usajili wa shule binafsi huitwa fomu namba RS8. Huu ndio mwongozo mkuu wa usajili. Kuna mambo ya msingi na ya kisheria ambayo  mtu hutakiwa kujiandaa nayo iwapo  anataka kuanzisha shule binafsi.Mambo haya huwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Jichangie iwe ‘jero’

Klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza zimezidi kugomea uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukata asilimia tano ya mapato ya fedha zao za wadhamini, pia kutaka punguzo kwenye fedha za jichangie.

 

10 years ago

Michuzi

SENENE KIGANJA KIMOJA CHA MKONO 'JERO' MJINI BUKOBA.

 Baadhi wachuuzi wa kitowea maarufu kwa wakazi wa Bukoba,kiitwacho senene,wakiwaandaa tayari kwa kuwauza kwa wateja wao,ambapo hupima kwa kiganja cha mkono kwa kiasi cha shilingi 500.  Kijana akiandaa senene wake kwa ajili ya chakula,kama alivyokutwa na Camera ya Globu ya Jamii nje ya soko la Bukoba mjini,ambako Senene hao hupatikana na kuuzwa kwa wingi.  Wachuuzi wa kitoweo cha Senene wakimuuzia mteja wao,ambapo hupima kwa kiganja na kuuzwa 500 . Wengine wanauwaza wakiwa bado hai kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani