Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jichangie iwe ‘jero’

Klabu za Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza zimezidi kugomea uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukata asilimia tano ya mapato ya fedha zao za wadhamini, pia kutaka punguzo kwenye fedha za jichangie.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WITNESZ KIBONGE MWEPEC AJA NA BUKU JERO...

Dowload accapella ya buku jero ndani ya mkito.com na audio link hapa

 

10 years ago

Bongo5

Music: Witnesz Kibonge Mwepesi — Buku Jero

Wimbo mpya wa Witnesz A.K.A Kibonge Mwepesi unaitwa “Buku Jero” Studio Seductive Records Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Witnesz kibonge Mwepesi – Buku Jero

Screen-Shot-2015-12-26-at-3.53.58-PM

Video mpya ya rapper ambaye zamani alikuwa anaunda kundi la ‘Wakilisha”, Witnesz wimbo unaitwa “Buku Jero”, Video imeongozwa na

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

SENENE KIGANJA KIMOJA CHA MKONO 'JERO' MJINI BUKOBA.

 Baadhi wachuuzi wa kitowea maarufu kwa wakazi wa Bukoba,kiitwacho senene,wakiwaandaa tayari kwa kuwauza kwa wateja wao,ambapo hupima kwa kiganja cha mkono kwa kiasi cha shilingi 500.  Kijana akiandaa senene wake kwa ajili ya chakula,kama alivyokutwa na Camera ya Globu ya Jamii nje ya soko la Bukoba mjini,ambako Senene hao hupatikana na kuuzwa kwa wingi.  Wachuuzi wa kitoweo cha Senene wakimuuzia mteja wao,ambapo hupima kwa kiganja na kuuzwa 500 . Wengine wanauwaza wakiwa bado hai kama...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Wiki ya Nanenane iwe na tija

LEO Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anazindua maonyesho ya wakulima yatakayofikia kilele wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Wakulima maarufu zaidi kwa jina la Nanenane, Jumamosi ya Julai 8 mwaka huu huko mkoani Lindi.

Maonyesho haya maalumu hushirikisha taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kilimo zikiwamo pia halmashauri za wilaya. Huu huwa wakati muafaka kwa wadau wa kilimo kukutana na kubadilishana utaalamu na kuwapa nafasi wananchi kujifunza teknolojia mpya.

Ingawa kauli mbiu ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Je unataka ndoa yako iwe na mvuto?

Je ungependa kuwa na ndoa thabiti na yenye huba ? Jifunze kugawanya majukumu na mumeo ama mkeo hapo nyumbani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msuya: MCBL iwe benki ya biashara

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ameushauri uongozi wa Benki ya Wananchi Mwanga (MCBL) kuibadili kutoka benki ya wananchi na kuwa ya biashara ili ya kupanua wigo na kufungua matawi kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani