Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msuya: MCBL iwe benki ya biashara

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ameushauri uongozi wa Benki ya Wananchi Mwanga (MCBL) kuibadili kutoka benki ya wananchi na kuwa ya biashara ili ya kupanua wigo na kufungua matawi kwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Uturuki imepania Tanzania iwe lango la biashara A. Mashariki

Nipo katika ubalozi wa Uturuki jijini Dar es Salaam, ambako Baraza la Mambo ya nje ya Uturuki ya Mahusiano ya Kiuchumi (DEiK) inaeleza kuhusu mpango wa nchi hiyo kushirikiana na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na biashara.

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif ataka Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

Maalim Seif Sharif HamadMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ipo haja kwa Zanzibar kuwa na chombo chake cha maamuzi ya fedha kitakachoratibu moja kwa moja mwenendo wa uchumi wa Zanzibar.

 

10 years ago

Bongo5

Mastaa wenzangu wengi wananifata tufanye skendo ili biashara iwe nzuri — Rich Mavoko

Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii ambao wamekwepa kuwa mitaji ya magazeti ya udaku kutokana na kujiweka mbali na skendo. Staa huyo wa ‘Pacha Wangu’ amekiri kuwa amekuwa akifatwa na wasanii wenzake maarufu waliomtaka kufanya naye skendo. Mavoko ameelezea sababu za kukataa kutengeneza skendo ili kukuza biashara yake ya muziki. “Mi nafikiri hatuwezi tukawa sawa, […]

 

10 years ago

GPL

WALIMU KUANZISHA BENKI YA BIASHARA MWAKA HUU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Walimu  Yahya Mgulwa (kushoto) akizungumza katika kikao hicho. Wanahabari wakichukua matukio katika kikao hicho. Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania, Gratian Mukoba (katikati) akitoa tamko la mchakato wa ufunguzi wa benki hiyo.  Pembeni ni viongozi wa CWT.…

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YADHAMINI SEMINA YA WAHARIRI WA BIASHARA NA UCHUMI

 Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa akifungua semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi kutoka vyombo mbalimbali vya habari iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza wakati wa semina ya wahariri wa habari za biashara na uchumi iliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam Meneja Mwenza wa Kampuni ya Auditax international,  Straton Makundi akiwasilisha mada kuhusu uelewa wa...

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya benki ya biashara ya Mkombozi juu ya sakata la Escrow


Utangulizi

Taarifa hii inatolewa kwa umma kutokana na ripoti mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari mitandao ya kijamii na taarifa iliyotolewa kwenye mjadala katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1. Ufunguzi wa akaunti ya VIP engineering 

and Marketing (VIP)

Kampuni ya VIP engineering and Marketing ni kampuni ambayo imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Kampuni hii ilifungua akaunti katika benki ya biashara ya Mkombozi na hivyo kuwa moja kati ya wateja wa...

 

5 years ago

Michuzi

NMB: Huduma ya bima kupitia benki hukuza biashara endelevu


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati - Filbert Mponzi akizungumza na wateja waliohudhuria mkutano wa NMB Business Club kupata maoni yao kuhusu huduma na bidhaa za NMB.

Meneja wa Mikopo ya Nyumba NMB - Miranda Lutege akielezea mikopo ya nyumba wakati wa mkutano wa NMB Business Club.
Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB Martine Massawe Akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business Club.

======= ======= ==========


Benki ya NMB imesisitiza...

 

5 years ago

CCM Blog

NMB:HUDUMA YA BIMA KUPITIA BENKI HUKUZA BIASHARA ENDELEVU

Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi, Biashara Ndogo na za Kati - Filbert Mponzi akizungumza na wateja waliohudhuria mkutano wa NMB Business Club kupata maoni yao kuhusu huduma na bidhaa za NMB.
Meneja wa Mikopo ya Nyumba NMB - Miranda Lutege akielezea mikopo ya nyumba wakati wa mkutano wa NMB Business Club.Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB Martine Massawe Akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business Club.
======= ======= ==========

Benki ya NMB imesisitiza umuhimu...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA NA JAPAN (JICA) KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NCHINI TANZANIA

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile katika majadiliano na Bw. Hiroshi Kato ambaye ni Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA). Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wa kwanza kulia akiendelea  kufanya majadiliano na ujumbe wa JICA ukiongozwa na Rais wa JICA Bw.  Hiroshi Kato wa pili kulia.
JAPANI YAKUBALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA BAJETI YA MAENDELEO KATIKA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani