Maalim Seif ataka Zanzibar iwe na Benki Kuu yake
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema ipo haja kwa Zanzibar kuwa na chombo chake cha maamuzi ya fedha kitakachoratibu moja kwa moja mwenendo wa uchumi wa Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo01 Jul
Maalim Seif ataka mazungumzo Katiba mpya
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali imeshatumia fedha nyingi za wananchi kwenye mchakato wa kuandaa Katiba mpya, hivyo kitendo cha kushindwa kukamilisha mchakato huo kwa wakati, itakuwa ni hasara kubwa kwa taifa.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
Maalim Seif ataka waumini waiombee CUF ishinde
9 years ago
MichuziMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE ZANZIBAR
9 years ago
VijimamboMAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKAGUA UWANJA WA NDEGE NA BANDARI YA MALINDI ZANZIBAR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....
9 years ago
Mtanzania07 Oct
Maalim Seif acharuka Zanzibar
NA MWANDISHI WETU, PEMBA
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema ana matumaini makubwa uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu licha ya kauli za baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuashiria kuvurugwa amani na umoja wa kitaifa kwa wananchi wa Zanzibar.
Maalim Seif alitoa tamko hilo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika majimbo ya Chakechake na Wawi uliofanyika katika uwanja wa Ditia Wawi, kisiwani Pemba...
9 years ago
GPLMAALIM SEIF ALIVYOPIGA KURA YAKE LEO
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE UNGUJA
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Dk. Shein avutana na Maalim Seif Zanzibar
Na Esther Mbussi, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
Alisema kauli inayozungumzwa na wapinzani kwamba chama hicho kimekuwa kikiiba kura katika uchaguzi ni kauli za ghiliba na vitisho ambazo hazipaswi kutolewa na kiongozi aliyebobea.
Rais huyo wa Zanzibar pia alisema hakuna sababu za msingi za kuifanyia mabadiliko Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiwamo kuwaondoa watendaji...
11 years ago
Uhuru Newspaper17 Jul
CCM Zanzibar yamshukia Maalim Seif
NA ANTAR SANGALI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakina ubia wa sera na CUF katika uendeshaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inayoongozwa na Dk. Ali Mohamed Sheni.
Msimamo huo wa CCM, imetokana na kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, kudai hivyo, wakati akihojiwa na kituo kimoja cha luninga, hivi karibuni.
Msimamo huo ulitolewa jana na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Itikadi na Uenezi (Zanzibar), Waride Bakari Jabu, wakati akizungumza na...