Wiki ya Nanenane iwe na tija
LEO Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, anazindua maonyesho ya wakulima yatakayofikia kilele wakati wa sherehe ya Sikukuu ya Wakulima maarufu zaidi kwa jina la Nanenane, Jumamosi ya Julai 8 mwaka huu huko mkoani Lindi.
Maonyesho haya maalumu hushirikisha taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kilimo zikiwamo pia halmashauri za wilaya. Huu huwa wakati muafaka kwa wadau wa kilimo kukutana na kubadilishana utaalamu na kuwapa nafasi wananchi kujifunza teknolojia mpya.
Ingawa kauli mbiu ya...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-xQGyBEeEe94/VcIJ6OS8HYI/AAAAAAABTME/zZi8XIfovqw/s72-c/1.jpg)
PICHA ZA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA NANENANE NA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI KITAIFA INAYOFANYIKA MKOANI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-xQGyBEeEe94/VcIJ6OS8HYI/AAAAAAABTME/zZi8XIfovqw/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-yR5777cPF2o/VcIJ-XNcoII/AAAAAAABTM4/szovlBwnMKc/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-_z1cwvspBe0/VcIJ_9rgLSI/AAAAAAABTNc/uqjxruCgnwo/s640/4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-TS009f5bUA8/VcIKABGLPVI/AAAAAAABTNY/pK0tg9A2Yl8/s640/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-U1l9oocnbn4/VcIKA_lDwjI/AAAAAAABTNk/7VdOmVB5In0/s640/6.jpg)
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/KCjDqGqyYH8/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Taso yakanusha madai ya Nanenane
10 years ago
Habarileo09 Aug
‘Wakulima fikeni maonesho ya Nanenane’
WAKULIMA wa Kanda ya Mashariki, wameshauriwa kufika kwenye maonesho ya wakulima Nanenane yaliyotarajiwa kumalizika jana katika Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ili kupata elimu ya kilimo.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Wizara kuzawadia washindi Nanenane
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeahidi kuwapatia zawadi washindi wote wa kilele cha maonyesho ya Nanenane 2013, kabla ya kuanza yale ya Kanda ya Kati Agosti Mosi mwaka...
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
10 years ago
Pinda11 Aug
Nanenane should demonstrate agricultural techniques
IPPmedia
IPPmedia
Prime Minister Mizengo Pinda has said that Nanenane exhibitions should be considered as demonstration farm of which participants of the exhibitions had an opportunity to learn new farming ideas every year. “These exhibitions are the demo-farm …
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
‘Huduma za Tika ziwe na tija’
SERIKALI Mkoa wa Tabora imesema haitakuwa tayari kusikia wananchi wanalalamikia huduma mbovu za matibabu kwa kadi (TIKA) wakati wameshachangia fedha. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwassa, alitoa angalizo hilo...