Wizara kuzawadia washindi Nanenane
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, imeahidi kuwapatia zawadi washindi wote wa kilele cha maonyesho ya Nanenane 2013, kabla ya kuanza yale ya Kanda ya Kati Agosti Mosi mwaka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete azindua ujenzi wa Mradi wa Maji Lindi, awazawadia washindi Nanenane
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwakilishi wa shirika la misaada la Ujerumani KFW Bi.Katrin Brandes na mkuu wa mkoa wa Lindi Bibi Mwantum Mahiza wakifunua kitambaa kuzindua ujenzi wa mradi wa maji wa mji wa Lindi eneo la Ng’apa mjini Lindi leo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga kombe la ushindi baada ya taasisi anayoiongoza kuibuka mshindi wa taasisi iliyofanya vyema kuliko zote(Overall Best Exhibitor) wakati...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Wizara ya Mifugo yabanwa Nanenane Dodoma
WIZARA ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imetakiwa kuhakikisha inawapa washindi wote zawadi walizoahidi katika kilele cha maonyesho ya Nanenane 2013 kabla ya kuanza kwa maonyesho ya Kanda ya Kati...
5 years ago
MichuziSERIKALI YATANGAZA WASHINDI WA MAKISATU, WASHINDI WA KWANZA KUJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI TANO
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) kwa Mwaka 2020 ambayo kilele chake kilifanyika Machi 16-18 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma na mshindi wa kwanza kujinyakulia kitita cha Sh Milioni Tano.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo wakati wa kutangaza washindi hao kutoka kada mbalimbali pamoja na zawadi watakazopata, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako...
11 years ago
MichuziHAFLA YA KUZAWADIA WACHEZAJI WA BWAWA LA MAINI
Kikosi cha Bwawa la Maini kwenye mnuso wa kuzawadia wachezaji bora uliofanyika usiku huu katika hoteli ia Hilton Liverpool na kuhudhuriwa na wapenzi na wanachama kutoka kila pembe ya dunia ikiwemo Tanzania ambayo iliwakilishwa na viongozi wa The Kop In Tanzania
Sehemu ya wageni kwenye mnuso huo katika hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa na kocha wa Bwawa la Maini Brendan Rodgers kwenye mnuso huo usiku huu hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa...
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Oxfam kuzawadia mshindi wa Maisha Plus Sh20 milioni
Shirika la Oxfam linalojishughulisha kusaidia kilimo, limesema litawezesha wakulima vijana waweze kujihudumia kuendesha maisha yao ikiwamo kuendesha shindano ambalo mshindi wake wa Maisha Plus 2014 atapata Sh20 milioni.
5 years ago
MichuziVodacom yaendelea kuzawadia wateja wake wa shindano la Tusua Mapene
Meneja mauzo wa Vodacom Njombe, Benedict KItogwa (kulia) akimkabidhi mshindi wa wiki wa bahati nasibu ya Tusua mapene na Vodacom, Vitus Gama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
10 years ago
MichuziVIONGOZI WA BENKI YA NBC WAPANGA MIKAKATI YA MAENDELEO MWAKA 2015 NA KUZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA
Mkurugenzi wa Muda wa Benki ya NBC , Bw. Pius Tibazarwa akizungumza na wafanyakazi wa NBC katika warsha ya siku moja kuzungumzia maendeleo na mikakati ya benki hiyo kwa mwaka 2015. Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi, ilijumuisha wakurugenzi wote wa benki hiyo, wakuu wa vitengo na mameneja wa matawi ya NBC nchi nzima. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Hazina cha Benki ya NBC, Barton Hamisi, akisisitiza jambo wakati wa warsha ya siku moja kuzungumzia maendeleo na mikakati ya benki...
5 years ago
MichuziZOLA kuzawadia vifaa vya umeme wanafunzi wataofanya vizuri katika mitihani yao wilayani Kisarawe
Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme wa jua ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, imeeleza dhamira yake ya kusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu ambapo imetangaza kuwazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri kwenye mtihani wa Taifa katika wilaya ya Kisarawe mwaka huu kupitia kampeni yake inayoendelea inayojulikana kama ‘Bukua na Ushinde’.
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.
Kampuni ya Seed Co Tz Ltd imezindua rasmi shindano la mashamba darasa kwa shule za Msingi Tanzania ambapo shule itakayokuwa imelima shamba zuri kwa kuzingatia misingi yote ya kilimo bora cha kisasa itajishindia zawadi kubwa ya madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 15 za Kitanzania. Tunaposema kulima kwa kuzingatia misingi ya kilimo bora cha kisasa ni pamoja na matumizi ya mbegu bora, mbolea za kupandia na kukuzia na uhifadhi bora wa mazao baada ya kuvuna. Shindano hili ni...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania