Vodacom yaendelea kuzawadia wateja wake wa shindano la Tusua Mapene
Meneja mauzo wa Vodacom Njombe, Benedict KItogwa (kulia) akimkabidhi mshindi wa wiki wa bahati nasibu ya Tusua mapene na Vodacom, Vitus Gama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziVodacom yaendelea kuwezesha wateja wake kwa Kutusua Mapene
Shindano la Tusua mapene na Vodacom linaloendelea kote nchini, linawawezesha watumiaji wa mtandao wa Vodacom kuweza kujishindia kitita cha milioni 10 kila wiki na wengine waliobaki watajishindia zawadi ndogo ndogo. Hili ni shindano lilioanza mwaka 2017, na kuendelea kuwanufaisha wateja wa Vodacom nchini.
Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Unaponunua tiketi, moja kwa moja unaingia...
Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Unaponunua tiketi, moja kwa moja unaingia...
5 years ago
MichuziMkazi wa Iringa ajishindia milioni 10 za Tusua Mapene na Vodacom
Mshindi wa mwezi Machi wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Sharabi Myovela( mwenye fulana nyekundu) mkazi wa Iringa akiwa na familia yake mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC
11 years ago
GPLVODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na Bw.Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.… ...
5 years ago
MichuziVodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akizungumza na wageni waalikwa na wafanyakazi wa Vodacom mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo Msimamizi wa duka jipya la Vodacom Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar es salaam, Devota Kijogoo akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa duka hilo. Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja...
11 years ago
MichuziVodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam
Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.
Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...
5 years ago
MichuziVodacom Yatangaza Kukua kwa Biashara, yaendelea Kuongoza katika umiliki wa soko la wateja.
Yaendelea kuongoza soko baada ya kufikisha wateja milioni 15.5.Yatumia Shilingi 154.6 bilioni kuboresha miundombinu ya mawasiliano hivyo kunufaisha wateja kwa huduma bora na za kiwango cha juu. Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kidijitali nchini, Vodacom Tanzania PLC imetoa matokeo ya awali ya kifedha kwa mwaka unaoishia tarehe 31 Machi 2020, ikionyesha ukuaji wa kibiashara unaodhihirishwa na ongezeko la umiliki wake wa soko kufikia asilimia 32.8 baada ya kuongeza idadi ya wateja wake...
11 years ago
MichuziVodacom yaanzisha "Zogo" kwa Wateja wake
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin Twissa,akifafanua jambo wakati akitangaza huduma mpya ya 'Zogo' inayoyawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa gharama nafuu.Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya'Zogo' ambayo itawawezesha wateja wa mtandao wa Vodacom kupiga simu ndani na nje ya mtandao na kujipatia vifurushi kwa...
11 years ago
GPLNMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa .Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam,...
10 years ago
MichuziVODACOM KUWAPATIA WATEJA WAKE MUZIKI WA KIDIGITALI KUTOKA DEEZER
Kampuni maarufu ya kuuza muziki kwa njia ya digitali inayojulikana kama Deezer, imeingia ushirikiano na kampuni ya Vodacom ambapo wateja wa Vodacom wataweza kupakua muziki katika maktaba kubwa ya muziki ya kampuni hiyo yenye nyimbo zaidi ya milioni 35.
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania