Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wakulima fikeni maonesho ya Nanenane’

WAKULIMA wa Kanda ya Mashariki, wameshauriwa kufika kwenye maonesho ya wakulima Nanenane yaliyotarajiwa kumalizika jana katika Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ili kupata elimu ya kilimo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU PINDA ALIPOFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI‏

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba ya kufunga maonesho ya wakulima nanenane 2015 Kanda ya Nyanda za juu kusini.Meneja wa Uwanja wa John Mwakangale, Mwakibete Kasilati akitoa taarifa ya hali ya uwanja kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Meneja wa Uwanja wa John Mwakangale, Mwakibete Kasilati akitoa taarifa ya hali ya uwanja kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Bwana shamba wa Balton alipotembelea banda lao.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maonesho nanenane kuboresha kilimo TZ?

Mkulima ananufaika vipi na maonesho ya kilimo?

 

10 years ago

Michuzi

LAPF YANGARISHA MAONESHO YA NANENANE —DODOMA

 Mwanachama akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Bi Rehema Mkamba Banda la Mfuko wa Pesheni wa LAPF ambalo lipo kwenye jengo la Ofisi ya waziri Mkuu, uwanja wa Nanenane, Dodoma Wanachama wakipata maelezo kuhusu bidhaa zinatolewa na LAPF ambazo ni uwezo wa kujichangia katika mfumo wa hiari, mkopo wa elimu, mkopo wa kujikimu, mkopo wa nyumba na fao la uzazi. 
LAPF ni mfuko bora wa pensheni Tanzania pia umeshiriki Maonesho haya ya Nanenane 2015.LAPF ipo banda la ofisi za Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE LINDI

 Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akiweka sahihi alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane) eneo la Ngongo, Mkoani Lindi. Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akipokea zawadi kutoka Meneja wa Mawasiliano TPDC, Bi. Marie Msellemu (kushoto) alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane).

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nananane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu ya Matokeo Makubwa Sasa: Tuchague viongozi bora kwa maendeleo ya  kilimo na ufugaji , NSSF itakuwa ikitoa huduma mbalimbali zikiwemo elimu juu ya scheme zake za Wakulima na Wavuvi, kuandikisha wanachama wapya, kutoa taarifa za michango  na kutoa elimu ya mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF kama...

 

10 years ago

Vijimambo

SPIKA MAKINDA AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MBEYA‏

 Spika wa Bunge, Anne Makinda akizungumza na wakulima pamoja na maafisa mbali mbali katika uzinduzi wa maonesho ya nane nane Kanda Mbeya. .Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akimkaribisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonesho ya nanenane. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitoa utambulisho kwa wageni mbali mbali. Makamu Mwenyekiti wa TASO Kanda, Crispin Mtono akitoa taarifa ya maandalizi ya nanenane ya mwaka 2015 katika sherehe za uzinduzi wa maoneshihayo. Wageni mbali mbali...

 

10 years ago

Michuzi

UHAMIAJI YATWAA USHINDI WA TATU MAONESHO YA NANENANE LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya Ushindi wa Tatu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ambaye alipokea kwa niaba ya Ofisi ya Uhamiaji walioibuka washindi wa tatu katika Maonesho hayo ya Kilimo Nane nane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi, Wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa katika Picha ya Pamoja wakishangilia Ushindi walioshinda katika Maonesho ya Kilimo ya Nane nane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi na Kufungwa na Mh. Rais...

 

10 years ago

Michuzi

USHINDI WA VETA KATIKA MAONESHO YA KILIMO (NANENANE) KITAIFA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Kusini Mashariki, Bw. Joseph Kibehele kikombe cha ushindi baada ya VETA kuibuka Mshindi wa Kwanza katika eneo la Taasisi za Mafunzo na Utafiti kwenye Kilele cha Maonesho ya Kilimo (Nanenane) kitaifa,  iliyofanyika viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi, tarehe 8 Agosti, 2015. Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) wakiwa katika picha ya pamoja kufurahia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Tigo Tanzania kusambaza simu za smartphones wakati wa maonesho ya Nanenane

John&Moyo

Meneja wa mawasiliano wa Tigo Tanzania, John Wanyancha akiongea na wanahabari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa Tigo kwenye maonesho ya Nane nane kitaifa mwaka huu, kushoto ni mwenyekiti wa TASO, Engelbert Moyo.

Wakulima na wageni mbalimbali watakaoshiriki kwenye maonesho ya nanenane ya mwaka huu wanatarajia kupata punguzo la bei ya simu za smartphones kutoka Tigo katika jitihada za kampuni ya mawasiliano ya simu kuwapatia watanzania wengi iwezekanavyo kupata kufurahia mambo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani