LAPF YANGARISHA MAONESHO YA NANENANE —DODOMA
Mwanachama akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Bi Rehema Mkamba Banda la Mfuko wa Pesheni wa LAPF ambalo lipo kwenye jengo la Ofisi ya waziri Mkuu, uwanja wa Nanenane, Dodoma Wanachama wakipata maelezo kuhusu bidhaa zinatolewa na LAPF ambazo ni uwezo wa kujichangia katika mfumo wa hiari, mkopo wa elimu, mkopo wa kujikimu, mkopo wa nyumba na fao la uzazi.
LAPF ni mfuko bora wa pensheni Tanzania pia umeshiriki Maonesho haya ya Nanenane 2015.LAPF ipo banda la ofisi za Waziri Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMAMLAKA YA HALI YA HEWA YAWA KIVUTIO KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO YA NANENANE MJINI DODOMA
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
10 years ago
Habarileo09 Aug
‘Wakulima fikeni maonesho ya Nanenane’
WAKULIMA wa Kanda ya Mashariki, wameshauriwa kufika kwenye maonesho ya wakulima Nanenane yaliyotarajiwa kumalizika jana katika Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ili kupata elimu ya kilimo.
10 years ago
MichuziTPDC YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE LINDI
10 years ago
VijimamboSPIKA MAKINDA AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MBEYAâ€
10 years ago
MichuziNSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI
10 years ago
MichuziUHAMIAJI YATWAA USHINDI WA TATU MAONESHO YA NANENANE LINDI
10 years ago
MichuziUSHINDI WA VETA KATIKA MAONESHO YA KILIMO (NANENANE) KITAIFA
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Kampuni ya Tigo Tanzania kusambaza simu za smartphones wakati wa maonesho ya Nanenane
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Tanzania, John Wanyancha akiongea na wanahabari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa Tigo kwenye maonesho ya Nane nane kitaifa mwaka huu, kushoto ni mwenyekiti wa TASO, Engelbert Moyo.
Wakulima na wageni mbalimbali watakaoshiriki kwenye maonesho ya nanenane ya mwaka huu wanatarajia kupata punguzo la bei ya simu za smartphones kutoka Tigo katika jitihada za kampuni ya mawasiliano ya simu kuwapatia watanzania wengi iwezekanavyo kupata kufurahia mambo...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10