Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC YASHIRIKI MAONESHO YA NANENANE LINDI

 Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akiweka sahihi alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane) eneo la Ngongo, Mkoani Lindi. Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akipokea zawadi kutoka Meneja wa Mawasiliano TPDC, Bi. Marie Msellemu (kushoto) alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nananane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu ya Matokeo Makubwa Sasa: Tuchague viongozi bora kwa maendeleo ya  kilimo na ufugaji , NSSF itakuwa ikitoa huduma mbalimbali zikiwemo elimu juu ya scheme zake za Wakulima na Wavuvi, kuandikisha wanachama wapya, kutoa taarifa za michango  na kutoa elimu ya mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF kama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Maendeleo ya Kilimo yashiriki Nanenane Kitaifa mkoani Lindi

1

Mmoja wa wafanyakazi wa benki ya Maendeleo ya Wakulima, Geofrey Mtawa akizungumza na moja ya wadau waliotembelea banda lao katika maonyesho ya Nanenane.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania inashiriki maonesho ya kilimo ya Nanenane kitaifa kwa mara ya kwanza mkoani Lindi mwaka huu kwa lengo la kutambulisha huduma zake kwa wadau wake wakuu, wakulima.

Katika maonesho hayo yaliyofunguliwa rasmi jana jumanne na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda, benki hiyo inatoa...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO

MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI)  AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI. 
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.

 

10 years ago

Michuzi

UHAMIAJI YATWAA USHINDI WA TATU MAONESHO YA NANENANE LINDI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi ya Ushindi wa Tatu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ambaye alipokea kwa niaba ya Ofisi ya Uhamiaji walioibuka washindi wa tatu katika Maonesho hayo ya Kilimo Nane nane yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi, Wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji wakiwa katika Picha ya Pamoja wakishangilia Ushindi walioshinda katika Maonesho ya Kilimo ya Nane nane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi na Kufungwa na Mh. Rais...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.

Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipiga picha ya pamojanaViongozi mbalimbali waserikali katika maonyesho ya Nanenane 2014, Lindi.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akipokea zawadi baada ya kutembelea mabanda.Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya wadau.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Habarileo

‘Wakulima fikeni maonesho ya Nanenane’

WAKULIMA wa Kanda ya Mashariki, wameshauriwa kufika kwenye maonesho ya wakulima Nanenane yaliyotarajiwa kumalizika jana katika Uwanja wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ili kupata elimu ya kilimo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maonesho nanenane kuboresha kilimo TZ?

Mkulima ananufaika vipi na maonesho ya kilimo?

 

10 years ago

Michuzi

LAPF YANGARISHA MAONESHO YA NANENANE —DODOMA

 Mwanachama akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko Bi Rehema Mkamba Banda la Mfuko wa Pesheni wa LAPF ambalo lipo kwenye jengo la Ofisi ya waziri Mkuu, uwanja wa Nanenane, Dodoma Wanachama wakipata maelezo kuhusu bidhaa zinatolewa na LAPF ambazo ni uwezo wa kujichangia katika mfumo wa hiari, mkopo wa elimu, mkopo wa kujikimu, mkopo wa nyumba na fao la uzazi. 
LAPF ni mfuko bora wa pensheni Tanzania pia umeshiriki Maonesho haya ya Nanenane 2015.LAPF ipo banda la ofisi za Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

SPIKA MAKINDA AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MBEYA‏

 Spika wa Bunge, Anne Makinda akizungumza na wakulima pamoja na maafisa mbali mbali katika uzinduzi wa maonesho ya nane nane Kanda Mbeya. .Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu akimkaribisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonesho ya nanenane. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyerembe Munasa akitoa utambulisho kwa wageni mbali mbali. Makamu Mwenyekiti wa TASO Kanda, Crispin Mtono akitoa taarifa ya maandalizi ya nanenane ya mwaka 2015 katika sherehe za uzinduzi wa maoneshihayo. Wageni mbali mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani