Ufisadi wa Sh1.4 bil waibuka TFF
Ndoa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) sasa iko shakani baada ya kampuni hiyo kubwa nchini kutishia kusitisha udhamini wake wa zaidi ya Sh17 bilioni kutokana na kubaini matumizi mabaya ya mamilioni ya fedha, Mwananchi inaweza kukuthibitishia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Jan
LAAC yabaini ufisadi wa Sh1.7 bil Jiji la D’Salaam
9 years ago
Habarileo30 Dec
Ufisadi mwingine waibuka bandarin
MAKONTENA mengine 11,884 na magari 2,019, yamebainika kuwa yametoroshwa katika bandari kavu (ICD) saba jijini Dar es Salaam bila kulipiwa ushuru wa bandari, hivyo kuipotezea Serikali mapato ya Sh bilioni 48.55.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Wachimbaji waingiza Sh1 bil
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Sh1.5 bil zatumika usajili Bongo
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Majambazi yapora Sh1 bil Stanbic
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh1.3 trilioni
9 years ago
Habarileo18 Dec
Ufisadi bil.5.7/- wazuiwa
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (pichani) ameamuru kusitishwa mara moja malipo yanayofanywa kwa makandarasi waliojenga barabara tano za ndani ya wilaya hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
CHADEMA yafichua ufisadi wa Bil. 80
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua tuhuma za ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 80 zilizotolewa na Benki ya Dunia, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo hapa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s72-c/blog13.jpg)
TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA, UFISADI WA ESROW,TUCTA WAIBUKA WASEMA LIWALO NA LIWE WAMECHOKA SEMA HAPA KUJUA
![](http://1.bp.blogspot.com/-VPKY9nNDLDc/Uk1b80BggeI/AAAAAAAAGm0/H45dRC6HgWY/s640/blog13.jpg)
Pichani ni Rais wa mpya chama cha Wafanyakazi nchi TUCTA Gration Mukoba picha na Maktaba
Na karoli Vinsent
CHAMA cha Wafanya kazi nchini (TUCTA) nao wamejitosa Kwa mara ya Kwanza kwenye sakata la Ufisadi wa zaidi ya bilioni 400 za kitanzania kwenye Akaunti ya Escrow na kusema chama hicho hakiwezi kukubaliana na ufisadi huo na kuitaka serikali kuwachukulia hatua kali ya watu wote waliohusika na wizi.
Na kama endapo Bunge pamoja na serikali hawatawachukulia hatua zozote Viongozi...