Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZOGA WA NYANGUMI WAIBUKA PWANI YA MTWARA LEO

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TAZAMA PICHA ZA NYANGUMI ALIYEIBUKA PWANI YA MTWARA

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30. Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu,…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzoga wa nyangumi wapatikana ufukweni

Mzoga wa nyangumi umepatikana ufukweni nje ya mji Capetown Afrika Kusini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nilikuwa mjinga aliyepanda mzoga wa nyangumi

Mwanaume aliyepigwa picha akiwa amepanda mzoga wa nyangumi amesema kuwa ilikuwa ni ujinga uliompelekea kuhatarisha maisha yake .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nyangumi wa tani 30 aonekana Mtwara

WAKAZI wa Msangamkuu, Mtwara Mjini mkoani Mtwara na vitongoji vyake, jana walimiminika katika pwani ya Bahari ya Hindi kumshangaa samaki aina ya Nyangumi mwenye urefu wa futi 48 na tani...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyangumi aliyevuliwa Mtwara awa kivutio

Samaki aina ya nyangumi aliyetegwa na wavuvi hadi kufa katika Pwani ya Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara amegeuka kuwa kivutio baada ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali kujazana katika eneo hilo kumwona.

 

10 years ago

Vijimambo

Ugonjwa mpya waibuka Mtwara

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk. Seif Rashid.
Ugonjwa uliodhaniwa kuwa ni surua, ulioibuka katika shule ya Msingi Mkoma1, Kata ya Mnikachi wilaya ya Newala, Mtwara, imebainika siyo surua baada ya sampuli zilizochunguzwa kuonesha kuwa ugonjwa huo ni rubella.

Dalili za ugonjwa huo zinazodaiwa kuwa sawa na ugonjwa wa surua zimeelezwa kuwa ni pamoja na kuwashwa macho, homa, kuharisha, ngozi kuwasha, vipele, kubabuka midomo, mafua, kuumwa tumbo, ngozi kukakamaa pamoja na kupoteza hamu ya...

 

11 years ago

Habarileo

Homa ya malale yaenea Lindi, Mtwara, Pwani

MIKOA ya Lindi, Mtwara na Pwani inakabiliwa na magonjwa ya malale kwa upande wa binadamu na Nagama kwa mifugo, kutokana kuwapo maambukizi ya vijidudu vitokanavyo na mifugo.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MGALU ASEMA BOMBA LA GESI KUVINUFAISHA VIWANDA VIPYA 50 PWANI,DAR NA MTWARA

VICTOR MASANGU, MKURANGA Naibu Waziri wa nsihati Subira Mgalu alisema kwamba katika kutimiza azma ya Tanzania kuwa na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 serikali imedhamilia kusambaza na kuwaunganishia  nishati ya umeme wa gesi asilia  katika viwanda vipya vipatavyo 50  ambavyo vimepitiwa na bomba la gesi ikiwemo Mkoa wa Dar es Salaam Pwani pamoja na Mtwarana kuongeza gharama za umeme zitashuka pindi mradi wa bwawa la umeme mwalimu nyerere utakapomalika Juni 2022 na kuzalisha mega wati...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISAHATI NA MADINI AKUTANA NA MAMENEJA WA TANESCO,MKOA LINDI, MTWARA, PWANI NA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage (katikati) akiwa katika kikao kilichojumuisha watendaji wa TANESCO, REA, na wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Kulia kwa Waziri ni, Mhandisi Nishati Mwandamizi, kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Salum Inegeja na kushoto ni Mhandisi Thomas Visi, Meneja wa kampuni ya Naomis Corporate Ltd inayotekeleza miradi ya usambazaji umeme vijijini katika mkoa wa Mtwara.Mhandisi Mkuu Usambazaji Umeme...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani