Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyangumi aliyevuliwa Mtwara awa kivutio

Samaki aina ya nyangumi aliyetegwa na wavuvi hadi kufa katika Pwani ya Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara amegeuka kuwa kivutio baada ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali kujazana katika eneo hilo kumwona.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Nyangumi wa tani 30 aonekana Mtwara

WAKAZI wa Msangamkuu, Mtwara Mjini mkoani Mtwara na vitongoji vyake, jana walimiminika katika pwani ya Bahari ya Hindi kumshangaa samaki aina ya Nyangumi mwenye urefu wa futi 48 na tani...

 

10 years ago

Michuzi

MZOGA WA NYANGUMI WAIBUKA PWANI YA MTWARA LEO

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo



 

10 years ago

GPL

TAZAMA PICHA ZA NYANGUMI ALIYEIBUKA PWANI YA MTWARA

Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30. Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu,…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja awa kivutio bungeni

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba juzi walishindwa kuzuia hisia zao za mapenzi na kuvutiwa na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, mara baada ya kutajwa jina lake kwenda kuapishwa. Ngeleja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Camara awa kivutio Yanga

Kiungo Lansana Camara kutoka Sierra Leone amesema anafurahia mazoezi katika klabu ya Yanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa ‘J’ awa kivutio mkutano wa Chadema

>Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule maarufu kwa jina la Profesa J, mwishoni mwa juma aligeuka kivutio kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema uliyofanyika kwenye viwanja vya Mbugani mkoani hapa baada ya kutumia njimbo zake kuwananga CCM.

 

11 years ago

GPL

MAIMARTHA AWA KIVUTIO DUKANI KWAKE

Na Hamida Hassan
Mtangazaji maarufu wa vipindi katika runinga, Maimartha Jesse amegeuka kivutio dukani kwake kwa kujiremba na kuvaa mawigi tofautitofauti ili kuwavuta wateja. Mbali na urembo, mtangazaji huyo amekuwa akiwaita majina wateja wake majina ambayo hutumika siku hizi kuita wapenzi kama vile baby, mwenyewe anadai kuwa ni lugha ya kuwakaribisha na kuwakarimu wateja.
               ...

 

9 years ago

GPL

SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO

Mwimbaji Selena Gomez. Los Angeles, Marekani
MWIMBAJI Selena Gomez juzi aliibuka kwenye utoaji wa tuzo za filamu na kuwa kivutio kikubwa kutokana na gauni alilokuwa amevaa.Selena alikuwa kivutio kwenye tuzo hizo zinazojulikana kwa jina la Annual Hollywood Film Awards, ambazo sherehe zake zilifanyika mjini Beverly Hills, jijini Los Angeles. Mwimbaji huyo ambaye alikabidhi tuzo ya mchekeshaji bora ambayo ilitwaliwa na Amy...

 

10 years ago

GPL

‘BODABODA’ WAKIKE AWA KIVUTIO DAR

Dereva wa pikipiki wa kike akiwa na abiria. MWANADADA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alionekana kivutio kikubwa kwa wapita njia baada ya kuonekana akiendesha pikipiki (Bodaboda) kwa kuimudu ipasavyo. Mwanadada huyo ambaye alikuwa  akifanya safari zake kati ya Mbezi na Kwembe jijini Dar,alionekana akiendesha kwa umakini wa hali ya juu huku akiwa na abiria. (Habari/Picha: Gabriel… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani