Camara awa kivutio Yanga
Kiungo Lansana Camara kutoka Sierra Leone amesema anafurahia mazoezi katika klabu ya Yanga.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Ngeleja awa kivutio bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba juzi walishindwa kuzuia hisia zao za mapenzi na kuvutiwa na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, mara baada ya kutajwa jina lake kwenda kuapishwa. Ngeleja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YhXU*a6M8FMZVESB1BO4p3y6Qz4VzKavDefasm3zdYvXzME*uYWqs*H*-xmIeMGU5WPmWuiHaA9oD5OYsQWDJAW/1.jpg?width=650)
MAIMARTHA AWA KIVUTIO DUKANI KWAKE
Na Hamida Hassan
Mtangazaji maarufu wa vipindi katika runinga, Maimartha Jesse amegeuka kivutio dukani kwake kwa kujiremba na kuvaa mawigi tofautitofauti ili kuwavuta wateja. Mbali na urembo, mtangazaji huyo amekuwa akiwaita majina wateja wake majina ambayo hutumika siku hizi kuita wapenzi kama vile baby, mwenyewe anadai kuwa ni lugha ya kuwakaribisha na kuwakarimu wateja.
           ...
10 years ago
Mwananchi25 May
Profesa ‘J’ awa kivutio mkutano wa Chadema
>Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule maarufu kwa jina la Profesa J, mwishoni mwa juma aligeuka kivutio kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema uliyofanyika kwenye viwanja vya Mbugani mkoani hapa baada ya kutumia njimbo zake kuwananga CCM.
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Nyangumi aliyevuliwa Mtwara awa kivutio
Samaki aina ya nyangumi aliyetegwa na wavuvi hadi kufa katika Pwani ya Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara amegeuka kuwa kivutio baada ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali kujazana katika eneo hilo kumwona.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqrs*X5KBcMlc0Vp6wD7lgebXQLozIcCaMh75*zIBxdwUiNtbWJHUtqjvMyacyOMxUHXGjyrAXZdihg5AbrELhRZ/selenagomezthatgrapejuice2014.png?width=650)
SELENA GOMEZ AWA KIVUTIO UTOAJI WA TUZO
Mwimbaji Selena Gomez. Los Angeles, Marekani
MWIMBAJI Selena Gomez juzi aliibuka kwenye utoaji wa tuzo za filamu na kuwa kivutio kikubwa kutokana na gauni alilokuwa amevaa.Selena alikuwa kivutio kwenye tuzo hizo zinazojulikana kwa jina la Annual Hollywood Film Awards, ambazo sherehe zake zilifanyika mjini Beverly Hills, jijini Los Angeles. Mwimbaji huyo ambaye alikabidhi tuzo ya mchekeshaji bora ambayo ilitwaliwa na Amy...
10 years ago
GPL‘BODABODA’ WAKIKE AWA KIVUTIO DAR
Dereva wa pikipiki wa kike akiwa na abiria. MWANADADA mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, alionekana kivutio kikubwa kwa wapita njia baada ya kuonekana akiendesha pikipiki (Bodaboda) kwa kuimudu ipasavyo. Mwanadada huyo ambaye alikuwa akifanya safari zake kati ya Mbezi na Kwembe jijini Dar,alionekana akiendesha kwa umakini wa hali ya juu huku akiwa na abiria. (Habari/Picha: Gabriel… ...
10 years ago
MichuziSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO
Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo kwaajili ya kununua zawadi Kwaajili ya Wazazi wake. Mfanyakazi wa TMT, Happy Ngatunga (Kushoto) akitoa maelekezo kwa Mabaunsa na Mshindi wa TMT aliyejinyakulia Kitita Cha Shilingi milioni 50 katika fainali ya Tanzania Movie...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Pluijm rasmi Yanga, Jerry Muro awa Afisa Habari
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imemtangaza rasmi Kocha Hans van Pluijm kuwa kocha mkuu wa timu hiyo akisaidiwa na Boniface Mkwasa kama kocha msaidizi .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania